-
UN yalaani kushambuliwa madaktari wasio na mipaka CAR
Jun 21, 2016 03:13Umoja wa Mataifa umelaani kushambuliwa msafara wa madaktari wasio na mipaka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR.
-
Jamhuri ya Afrika ya Kati yawalaani wanaotaka kufufua mauaji
Jun 20, 2016 10:03Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imeyalaani makundi ya watu ambao wanafanya njama za kurejesha ukosefu wa amani na mauaji katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui.
-
Polisi wa Burundi kuondolewa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jun 12, 2016 00:00Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kuondolewa maafisa wa polisi wa Burundi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ifikapo mwishoni mwa mwezi ujao wa Julai.
-
Katibu Mkuu wa UN apongeza hatua jumuishi za Rais wa CAR za kutatua mgogoro
Jun 12, 2016 00:00Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepongeza hatua ya rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin Archange Touadéra ya kushughulikia chimbuko la mgogoro wa nchi hiyo kwa kushirikisha pande zote nchini humo.
-
Uganda kuondoa askari wake wanaowasaka waasi wa LRA, nchini CAR
Jun 10, 2016 23:48Uganda imesema karibuni hivi itawaondoa askari wake wanaoongoza katika operesheni ya kuwasaka waasi wa Lord's Resistance Army (LRA) katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Ufaransa yakiri kuwa askari wake walitekeleza jinai dhidi ya raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jun 05, 2016 03:18Ufaransa imekiri kuwa askari wake waliotumwa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) walitekeleza jinai dhidi ya raia nchini humo.
-
Wanajeshi wa Mauritania waanza kulinda amani CAR katika kikosi cha UN
May 29, 2016 02:22Wanajeshi wa Mauritania wameanza kuhudumu katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Hollande: Askari wa Ufaransa tayari wamemaliza kipindi cha kuhudumu nchini CAR
May 14, 2016 09:47Rais François Hollande wa Ufaransa amesema kuwa, askari wa nchi yake wamemaliza kipindi cha kuhudumu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na wataanza kuondoka mwishoni mwa mwaka huu.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 14, 2016 02:36Rais Francois Hollande wa Ufaransa Ijumaa aliitembelea kwa masaa kadhaa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR)na kukutana na rais wa nchi hiyo Faustin-Archange Touadéra.
-
LRA iliwateka watu 296 kwenye robo ya kwanza ya 2016
Apr 24, 2016 23:34Kundi la waasi la Lord's Resistance Army la Uganda liliwateka watu 296 katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika robo ya kwanza ya mwaka huu.