Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Wanajeshi wa DRC wanawaua raia mashariki mwa nchi hiyo

    Wanajeshi wa DRC wanawaua raia mashariki mwa nchi hiyo

    May 16, 2016 23:48

    Wataalamu wa Umoja wa Mataifa katika kamati ya vikwazo vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametoa ripoti na kusema maafisa wa kijeshi nchini humo wanahusika na mauaji ya raia.

  • Waasi wa ADF-NALU wa Uganda wafanya mashambulio katika mkoa wa Ituri DRC

    Waasi wa ADF-NALU wa Uganda wafanya mashambulio katika mkoa wa Ituri DRC

    May 16, 2016 11:35

    Kundi la waasi wa Uganda linalojulikana kama ADF-Nalu limefanya mashambulio katika mkoa wa Ituri huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuuwa watu kadhaa.

  • DRC: Madai kuwa tumepokea silaha kutoka Korea Kaskazini ni kichekesho

    DRC: Madai kuwa tumepokea silaha kutoka Korea Kaskazini ni kichekesho

    May 16, 2016 03:20

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepuuzilia mbali ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa iliyodai kuwa nchi hiyo imekuwa ikipokea silaha kutoka Korea Kaskazini.

  • UN: Jeshi la DRC liliwasaidia waasi wa Uganda kuua Wakongomani

    UN: Jeshi la DRC liliwasaidia waasi wa Uganda kuua Wakongomani

    May 15, 2016 09:31

    Ripoti ya siri ya Baraza la Usalama la Umoja wa Matafa imefichua kuwa, kamanda mwandamizi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo alifadhili na kulipa silaha kundi la waasi wa Uganda la ADF kuua raia wa nchi hiyo.

  • Jeshi la DRC laanzisha operesheni mpya dhidi ya waasi wa Uganda

    Jeshi la DRC laanzisha operesheni mpya dhidi ya waasi wa Uganda

    May 15, 2016 02:15

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeanzisha opereseheni mpya ya kijeshi dhidi ya waasi wa Uganda, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Jeshi la DRC lawatimua wanamgambo wa Mai-Mai kutoka katika maeneo kadhaa ya mji wa Uvira

    Jeshi la DRC lawatimua wanamgambo wa Mai-Mai kutoka katika maeneo kadhaa ya mji wa Uvira

    May 14, 2016 02:19

    Duru za usalama za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinaripoti kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuwafurusha wanamgambo wa Mai-Mai kutoka katika maeneo kadhaa ya mji wa Uvira ulioko katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Mahakama ya kilele DRC: Kabila kusalia uongozini  hata baada ya muhula wake kumalizika

    Mahakama ya kilele DRC: Kabila kusalia uongozini hata baada ya muhula wake kumalizika

    May 12, 2016 02:19

    Mahakama ya Juu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa huenda Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo akasalia madarakani hata baada ya kumalizika muhula wake iwapo uchaguzi mkuu utakosa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu.

  • Kususiwa kikao cha Bunge la DRC na Wabunge wa Kivu Kaskazini

    Kususiwa kikao cha Bunge la DRC na Wabunge wa Kivu Kaskazini

    May 10, 2016 06:34

    Wabunge wa jimbo la Kivu kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesusia kikao cha Bunge wakilalamikia ukosefu wa amani unaoshuhudiwa katika jimbo hilo.

  • Wabunge wa mkoa wa Kivu Kaskazini, Kong DR wasusia vikao vya bunge, kulalamikia machafuko mkoani hapo

    Wabunge wa mkoa wa Kivu Kaskazini, Kong DR wasusia vikao vya bunge, kulalamikia machafuko mkoani hapo

    May 10, 2016 00:17

    Wabunge wa mkoa wa Kivu Kaskazini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameamua kususia vikao vya bunge la taifa nchini humo, kulalamikia machafuko yanayoendelea mkoani hapo.

  • Mgombea urais wa wapinzani Kongo aitwa mahakamani

    Mgombea urais wa wapinzani Kongo aitwa mahakamani

    May 08, 2016 03:09

    Mwendesha mashtaka mkuu wa mji wa Lubumbashi, kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemwita mahakamani mgombea wa urais wa muungano wa wapinzani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS