-
Wafanyakazi watatu wa Shirika la Msalaba Mwekundu wakombolewa DRC
May 07, 2016 11:38Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limesema kuwa, wafanyakazi watatu wa shirika hilo waliokuwa wametekwa nyara mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekombolewa.
-
Kiongozi wa upinzani DRC akanusha kukodi mamluki wa kigeni
May 06, 2016 03:43Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Moise Katumbi, amekanusha tuhuma zilizotolewa na serikali kuwa amekodi mamluki wa kigeni na kueleza kwamba hahofii chochote juu ya uchunguzi wa suala hilo au ripoti kwamba anaweza kutiwa nguvuni.
-
Kiongozi wa Upinzani DRC atangaza rasmi kugombea urais
May 05, 2016 03:55Moise Katumbi, kiongozi mashuhuri wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa mwezi Novemba.
-
Wafungwa wakimbia jela kaskazini mashaiki mwa DRC
May 02, 2016 12:26Mkuu wa eneo la Watsa la kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametangaza habari ya kutoroka jela wafungwa zaidi ya kumi nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa waitaka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kulitafutia ufumbuzi tatizo la wakimbizi
Apr 27, 2016 23:26Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutafuta ufumbuzi wa kudumu kuhusiana na wakimbizi wa mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN yatiwa wasi wasi na ongezeko la taharuki ya kisiasa Kongo DR
Apr 26, 2016 03:46Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi wake kuhusu kuongezeka taharuki na uhasama wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wapinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wataka kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu
Apr 25, 2016 02:25Wapinzani wa serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametoa wito wa kufanyika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo Novemba mwaka huu kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.
-
Machafuko mashariki mwa DRC kikwazo kwa misaada ya maelfu ya watu
Apr 24, 2016 23:34Ofisi ya uratibu wa misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, hali mbaya na machafuko huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni kikwazo kikuu cha kuwafikishia misaada ya kibinadamu wahitaji.
-
LRA iliwateka watu 296 kwenye robo ya kwanza ya 2016
Apr 24, 2016 23:34Kundi la waasi la Lord's Resistance Army la Uganda liliwateka watu 296 katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika robo ya kwanza ya mwaka huu.
-
Rais Joseph Kabila wa DRC aonana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Apr 24, 2016 10:19Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameonana na Ban Ki mooon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kujadiliana naye hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi hiyo.