Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Jeshi la Rwanda lakanusha madai ya wanajeshi wake kuingia katika ardhi ya DRC kuwasaka waasi

    Jeshi la Rwanda lakanusha madai ya wanajeshi wake kuingia katika ardhi ya DRC kuwasaka waasi

    Apr 23, 2016 11:39

    Jeshi la Rwanda limekanusha madai kwamba, wanajeshi wake wameingia katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya kuwasaka waasi wa Kihutu walioko katika nchi hiyo.

  • Wasiwasi wa kuendelea kubanwa uhuru wa vyombo vya habari nchini Kongo

    Wasiwasi wa kuendelea kubanwa uhuru wa vyombo vya habari nchini Kongo

    Apr 22, 2016 00:07

    Shirika la Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka limeelezea masikitiko yake kwa kuendelea kubanwa uhuru wa vyombo vya habari huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Viongozi wa kisiasa wa Kongo watolewa wito wa kushiriki mazungumzo

    Viongozi wa kisiasa wa Kongo watolewa wito wa kushiriki mazungumzo

    Apr 17, 2016 10:50

    Mkuu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewatolea wito viongozi wa kisiasa wa nchi hiyo kushiriki mazungumzo ya kitaifa ya nchi hiyo.

  • Mripuko wa bomu wauawa watu 3 garini DRC

    Mripuko wa bomu wauawa watu 3 garini DRC

    Apr 16, 2016 02:50

    Watu watatu wameuawa katika mripuko wa kile kinachoaminika kuwa bomu la kutegwa garini mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Makumi waaga dunia kutokana na homa ya manjano DRC

    Makumi waaga dunia kutokana na homa ya manjano DRC

    Apr 13, 2016 02:38

    Mripuko wa homa ya manjano umesababisha vifo vya watu wasiopungua 21 katika Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.

  • Waasi wa Uganda washambulia mashariki mwa DRC

    Waasi wa Uganda washambulia mashariki mwa DRC

    Apr 12, 2016 23:52

    Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya waasi wa Uganda kufanya mashambulizi kwenye maeneo hayo.

  • Wapinzani wa Congo DR waunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Wapinzani wa Congo DR waunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Apr 12, 2016 23:47

    Wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa, wanaunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kufanyike uchaguzi wa nchi hiyo katika muda uliopangwa.

  • Machafuko baina ya wananchi na jeshi la serikali mashariki mwa DRC

    Machafuko baina ya wananchi na jeshi la serikali mashariki mwa DRC

    Apr 11, 2016 00:17

    Habari kutoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinasema kuwa, kumezuka machafuko baina ya wananchi na wanajeshi wa serikali baada ya kuuawa kiongozi mmoja wa kieneo katika eneo hilo.

  • Kuteuliwa msuluhishi kwa ajili ya kufanikisha mazungumzo ya kitaifa Kongo DR

    Kuteuliwa msuluhishi kwa ajili ya kufanikisha mazungumzo ya kitaifa Kongo DR

    Apr 09, 2016 11:28

    Umoja wa Afrika (AU) umemteuwa mpatanishi ili kuanisha jitihada za kufanyika mazungumzo ya kitaifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Mashirika ya kijamii Kongo DR yajawa na wasi wasi kutokana na wanamgambo mashiriki mwa nchi

    Mashirika ya kijamii Kongo DR yajawa na wasi wasi kutokana na wanamgambo mashiriki mwa nchi

    Apr 06, 2016 09:08

    Mashirika matano yasiyo ya serikali yanayojishughulisha na haki za binaadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, yameonyesha wasi wasi wao juu ya ongezeko la wanamgambo wa waasi kusini mashariki mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS