Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • UN: Zaidi ya watu 20 wauawa katika shambulio la wanamgambo kaskazini mashariki mwa Kongo

    UN: Zaidi ya watu 20 wauawa katika shambulio la wanamgambo kaskazini mashariki mwa Kongo

    Feb 14, 2023 08:31

    Raia zaidi ya 20 waliuliwa juzi Jumapili katika mashambulizi ya wanamgambo wenye silaha katika jimbo tajiri kwa madini ya dhahabu la Ituri kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hii ni kwa mujibu wa taarifa za awali zilizokusanywa Jumatatu na Umoja wa Mataifa na mashirika ya kiraia.

  • Askari 7 wa DRC wahukumiwa kifo kwa 'woga' mkabala wa M23

    Askari 7 wa DRC wahukumiwa kifo kwa 'woga' mkabala wa M23

    Feb 12, 2023 23:04

    Mahakama moja huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewahukumu kifo wanajeshi saba wa nchi hiyo, baada ya kupatikana na hatia ya kukimbia medani ya vita na kufanya mauaji.

  • Askari wa Kulinda amani wa UN auawa nchini DRC, Guterres alaani hujuma

    Askari wa Kulinda amani wa UN auawa nchini DRC, Guterres alaani hujuma

    Feb 06, 2023 04:11

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani vikali shambulio lililofanywa Jumapili huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC dhidi ya helikopta ya ujumbe wa umoja huo wa kulinda amani nchini DRC, MONUSCO, shambulio ambalo limesababisha kifo cha mlinda amani mmoja wa UN kutoka Afrika Kusini na mwingine kujeruhiwa.

  • Viongozi wa Afrika Mashariki wako Burundi kujadili machafuko ya Congo DR

    Viongozi wa Afrika Mashariki wako Burundi kujadili machafuko ya Congo DR

    Feb 04, 2023 09:53

    Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki wamewasili nchini Burundi leo Jumamosi kwa mkutano wa kanda kujadili mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokfrasia ya Congo.

  • Watu 15 wauawa katika shambulizi la ADF mashariki mwa DRC

    Watu 15 wauawa katika shambulizi la ADF mashariki mwa DRC

    Jan 30, 2023 08:16

    Kwa akali watu 15 wameuawa katika wimbi jipya la mashambulizi yaliyofanywa na genge la wanamgambo wa ADF mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Rwanda yashambulia ndege ya kivita ya DRC kwa 'kukiuka' anga yake

    Rwanda yashambulia ndege ya kivita ya DRC kwa 'kukiuka' anga yake

    Jan 25, 2023 08:22

    Serikali ya Kigali imesema imechukua 'hatua za kujilinda' baada ya ndege ya kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kukiuka anga ya Rwanda.

  • Magaidi wa ADF waua watu 24 mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Magaidi wa ADF waua watu 24 mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Jan 24, 2023 03:48

    Shambulio la silaha lililofanywa na kundi la kigaidi la ADF limeua watu 24 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Umoja wa Mataifa walaani mlipuko wa bomu DRC, wataka waliohusika wawajibishwe

    Umoja wa Mataifa walaani mlipuko wa bomu DRC, wataka waliohusika wawajibishwe

    Jan 16, 2023 07:17

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulio lililotokea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa moja huko Kasindi, jimboni Kivu Kaskazini na kusisitiza haja ya kuwawajibisha wahusika wa shambulio hilo.

  • Genge la kigaidi la Daesh/ISIS latangaza kuhusika na mripuko wa jana DRC

    Genge la kigaidi la Daesh/ISIS latangaza kuhusika na mripuko wa jana DRC

    Jan 16, 2023 03:36

    Genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) limetangaza kuhusika na shambulio la bomu lililotokea jana Jumapili wenye kanisa moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Usajili wa mapema wa wapiga kura nchini DRC wakumbwa na uhaba wa vifaa

    Usajili wa mapema wa wapiga kura nchini DRC wakumbwa na uhaba wa vifaa

    Dec 26, 2022 23:02

    Uandikishaji wa mapema wa wapiga kura nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeanza kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Disemba mwakani huku uhaba wa vifaa na vitendea kazi ukiripotiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS