-
Waasi wa M23 wateka nyara raia 52 mashariki mwa DRC
Dec 25, 2022 07:08Waasi wa M23 wameripotiwa kuwateka nyara raia 52 katika kijiji cha Rusekera kilichoko katika jimbo la Kivu Kaskazini huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Waasi wa M23 huko DRC kuondoka mji wa kistratajia wa Kibumba
Dec 24, 2022 02:31Kundi la waasi wa M23 limeahidi kuondoka katika mji wa kistratajia wa Kibumba karibu na jiji la Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wapiganaji 15 wa ADF wauawa na jeshi la Uganda mpakani na DRC
Dec 14, 2022 07:57Askari wa Jeshi la Uganda wamefanikiwa kuwaangamiza wanamgambo 15 wa kundi la waasi la ADF katika mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
DRC: Kwa akali watu 120 wameaga dunia katika janga la mafuriko Kinshasa
Dec 14, 2022 00:02Kwa akali watu 120 wamefariki dunia huko Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia janga la mafuriko makubwa yaliyoukumba mji huo hapo jana.
-
Wakimbizi wa DRC nchini Rwanda wakosoa kimya cha jamii ya kimataifa
Dec 13, 2022 03:46Maelfu ya wakimbizi raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini Rwanda wameikosoa jamii ya kimataifa kwa kufumbia macho mauaji yanayoendelea kufanywa na magenge ya waasi mashariki mwa DRC.
-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu mauaji ya raia Congo DR
Dec 10, 2022 04:43Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema mauaji ya raia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanatia wasiwasi.
-
UN: Kwa muda wa siku mbili, waasi wa M23 wameua zaidi ya raia 130 Kongo DR
Dec 08, 2022 09:00Uchunguzi uliofanywa na ofisi ya uwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umegundua kuwa takriban raia 131 waliuawa katika mashambulio yaliyofanywa Novemba 29 na 30 na kundi la waasi la M23.
-
Viongozi wa kidini wakutana mashariki mwa Kongo kujadili hali ya mambo
Dec 04, 2022 08:13Viongozi wa kidini wamekutana katika mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia machafuko yaliyosababisha vifo vya watu 50 mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Kongo lawatuhumu waasi wa M23 kwa kuuwa raia 50
Dec 02, 2022 07:35Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limelituhumu kundi la waasi la M23 na waitifaki wake kwamba wawaua raia 50 katika mji wa Kishishe mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waasi 40 wa Burundi wauawa mashariki mwa Kongo DR
Nov 28, 2022 03:46Makumi ya waasi raia wa Burundi wameuawa katika operesheni ya pamoja ya wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi mashariki mwa DRC.