-
Uganda kutuma askari 1,000 DRC kuwa sehemu ya kikosi cha kieneo
Nov 22, 2022 00:01Jeshi la Ulinzi la Uganda (UPDF) limesema litatuma mamia ya askari wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujiunga na kikosi cha kieneo kinachopambana na magenge ya waasi na wabeba silaha mashariki mwa DRC.
-
Watu 20 wauawa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mapigano ya kikabilla
Nov 10, 2022 00:44Kwa akali watu 20 wameuawa wiki hii katika shambulio lililotokea magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Wakongo wafanya mandamano makubwa dhidi ya waasi wa M23 mjini Bukavu
Nov 04, 2022 07:55Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wenye hasira wamechoma moto bendera ya Umoja wa Ulaya katika mji wa Bukavu mashariki mwa nchi hiyo, huku mamia ya wakiandamana dhidi ya waasi wa M23. Wananchi hao wameeleza kutoridhishwa kwao na uingiliaji wa mataifa makubwa kama vile Marekani, Uingereza na Ufaransa katika masuala ya ndani ya nchi yao.
-
Rais wa Kenya atangaza vita dhidi ya waasi wa M23 wa DRC
Nov 02, 2022 23:00Rais William Ruto wa Kenya ametangaza habari ya kutumwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanajeshi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, kwenda kukabiliana na magenge ya wanamgambo likiwemo kundi la waasi la M23.
-
Wananchi wenye hasira wa DRC wachoma moto magari ya UN
Nov 02, 2022 09:40Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliokuwa na ghadhabu wamechoma moto magari ya askari walinda amani wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa unaojulikana kwa jina la MONUSCO, wakisisitiza kuwa kikosi hicho cha UN kimeshindwa kukabiliana na harakati na mashambulizi ya kundi la waasi la M23.
-
Maelfu ya watu washiriki maandamano dhidi ya Rwanda mjini Goma Kongo DR
Nov 01, 2022 03:37Maelfu ya watu wameandamana katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) dhidi Rwanda inayodaiwa kuwaunga mkono waasi wa M23, huku uhusiano baina ya nchi hizo mbili ukizidi kuharibika baada ya Kinshasa kumuita nyumbani kaimu balozi wake wa muda aliyeko Kigali.
-
Wanamgambo wa ADF washambulia vituo vya afya na kuua watu 7 DRC
Oct 21, 2022 07:58Watu wasiopungua saba wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha katika eneo moja la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Ajali ya boti yaua watu 27 Kongo DR, 32 wametoweka
Oct 13, 2022 07:26Kwa akali watu 27 wameaga dunia baada ya boti iliyokuwa imewabeba kuzama katika Mto Congo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanamgambo wa ADF waua watu 10 karibu na Uganda
Oct 05, 2022 23:53Kwa akali watu 10 wameuawa katika shambulizi jipya la waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, karibu na mpaka wa Uganda.
-
DRC yatangaza kumalizika mripuko wa sasa wa Ebola
Sep 28, 2022 04:39Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya kutokomezwa ugonjwa wa Ebola mashariki mwa nchi.