Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Waziri Mkuu wa Kongo DR atishia kujiuzulu baada ya waziri wa sheria kuwekwa kizuizini kwa muda

    Waziri Mkuu wa Kongo DR atishia kujiuzulu baada ya waziri wa sheria kuwekwa kizuizini kwa muda

    Jun 28, 2020 11:29

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Sylvestre Ilunga amelalamikia kuwekwa kizuizini kwa muda waziri wa sheria wa serikali ya mseto ya nchi hiyo na kueleza kwamba anaweza kujiuzulu huku akimtaka rais ahakikishe mawaziri wa serikali wanakuwa na kinga ya kisheria.

  • Magaidi wa ADF waua raia 19 mashariki mwa Kongo DR

    Magaidi wa ADF waua raia 19 mashariki mwa Kongo DR

    Jun 22, 2020 07:40

    Watu 19 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti ya wanamgambo wa ADF huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Nchi kadhaa zatuhumiwa kutuma silaha Congo DR, nyingine zinatumwa kwa waasi

    Nchi kadhaa zatuhumiwa kutuma silaha Congo DR, nyingine zinatumwa kwa waasi

    Jun 19, 2020 02:00

    Umoja wa Mataifa umezituhumu baadhi ya nchi kwamba zinatuma silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bila ya kuutaarifu umoja huo.

  • DRC yaanzisha uchunguzi baada ya jaji katika kesi ya ufisadi kuuawa

    DRC yaanzisha uchunguzi baada ya jaji katika kesi ya ufisadi kuuawa

    Jun 17, 2020 06:58

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetangaza kuanzisha uchunguzi baada ya jaji Raphael Yanyi Ovungu kuuawa kwa kupigwa kichwani.

  • Mlipuko mpya wa Ebola waua watu 11 Kongo DR

    Mlipuko mpya wa Ebola waua watu 11 Kongo DR

    Jun 15, 2020 11:12

    Huku Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikiendelea kukabiliana na janga la sasa la virusi vya corona, mlipuko mpya wa virusi vya Ebola umeripotiwa katika mkoa wa magharibi mwa nchi wa Equateur.

  • Wacongomani wataka sanamu la Leopold II na nembo zote za zama za ukoloni ziharibiwe

    Wacongomani wataka sanamu la Leopold II na nembo zote za zama za ukoloni ziharibiwe

    Jun 13, 2020 22:59

    Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wametaka nembo zote za kikoloni zikusanywe na kuondolewa nchini humo.

  • UNHCR: Wakimbizi DRC wanakabiliwa na hatari ya COVID-19, vita, ukosefu wa misaada

    UNHCR: Wakimbizi DRC wanakabiliwa na hatari ya COVID-19, vita, ukosefu wa misaada

    Jun 10, 2020 00:02

    Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema wakati janga la virusi vya corona au COVID-19 na vita vikiendelea kushika kasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wakimbizi wa ndani wanakabiliwa na hatari kubwa kwa Maisha yao kutokana na ukosefu wa misaada ya kibinadamu.

  • UN: Raia 1,300 wameuawa DRC, jinai za kivita zimetendeka

    UN: Raia 1,300 wameuawa DRC, jinai za kivita zimetendeka

    Jun 05, 2020 23:27

    Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema takribani watu 1,300 ambao ni raia wameuawa katika matukio tofauti yanayohusisha makundi ya watu wenye silaha na vikosi vya serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika kipindi cha miezi minane iliyopita.

  • Wanamgambo wa CODECO waua watu 16 Kongo DR

    Wanamgambo wa CODECO waua watu 16 Kongo DR

    Jun 04, 2020 03:06

    Watu wasiopungua 16 wameuawa katika shambulizi jingine la kutisha la wanamgambo wa CODECO huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Ugonjwa wa Ebola waripotiwa tena kaskazini magharibi mwa Congo DR

    Ugonjwa wa Ebola waripotiwa tena kaskazini magharibi mwa Congo DR

    Jun 01, 2020 21:59

    Maafisa wa afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza kuwa, maambukizi ya ugonjwa wa Ebola yamerejea tena nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS