-
DRC yadhibiti mripuko wa 12 wa ugonjwa wa Ebola
May 03, 2021 21:03Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza habari ya kudhibitiwa mripuko wa 12 wa ugonjwa wa Ebola nchini humo, miezi mitatu baada ya kesi ya kwanza kuripotiwa katika mkoa wa Kivu Kaskazini.
-
DRC yatangaza 'hali ya mzingiro' katika mikoa ya mashariki
May 01, 2021 08:08Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza 'hali ya mzingiro' katika mikoa miwili ya mashariki mwa nchi inayoshuhudia mapigano na umwagaji damu kwa miezi kadhaa sasa.
-
23 wauawa katika mauaji mengine ya halaiki Mashariki mwa Congo DR
Mar 31, 2021 22:32Afisa mmoja wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa watu waliokuwa na silaha ambao wanadhaniwa kuwa ni wapiganaji wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) kutoka Uganda wameua raia wasiopungua 23 huko Mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN: Zaidi ya 200 wameuawa katika mashambulio ya wabeba silaha DRC
Mar 20, 2021 06:06Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 200 wameuawa katika mashambulio ya magenge ya wabeba silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tokea Januari mwaka huu hadi sasa.
-
Afrika CDC: Ebola imeua watu 13 Kongo DR na Guinea
Mar 07, 2021 04:05Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika CDC kimesema idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Guinea imeongezeka na kufikia watu 13.
-
Jeshi la DRC laua wanamgambo 16 kaskazini mwa nchi
Mar 01, 2021 23:45Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuua wanamgambo 16 katika makabiliano makali baina ya pande mbili hizo huko kaskazini mashariki mwa nchi.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Kongo
Feb 28, 2021 04:41Umoja wa Mataifa umetoa ripoti na kutahadharisha kuhusu kuendelea mapigano ya silaha na kuongezeka vitendo vya utumiaji mabavu vinavyofanywa na wanamgambo wanaobeba silaha na hivyo kusababisha mamilioni ya watu kuwa wakimbizi.
-
Mripuko mpya wa tauni waua watu 31 Kongo DR
Feb 20, 2021 09:56Mripuko mpya wa ugonjwa angamizi wa tauni umeibuka kaskazini mashariki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo hadi sasa watu zaidi ya 30 wanaripotiwa kupoteza maisha.
-
WHO yaanza kutoa chanjo ya Ebola DRC
Feb 19, 2021 23:40Shirika la Afya Duniani WHO limeanza zoezi la kutoa chanjo ya Ebola ili kukabiliana na mlipuko mpya wa ugonjwa huo nchini Guinea na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Watu zaidi ya 60 wapoteza maisha katika ajali ya boti DRC
Feb 16, 2021 04:25Watu wasiopungua 60 wamefariki dunia kufuatia ajali ya boti magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.