Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • UN: Raia 1,300 wameuawa DRC, jinai za kivita zimetendeka

    UN: Raia 1,300 wameuawa DRC, jinai za kivita zimetendeka

    Jun 05, 2020 23:27

    Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema takribani watu 1,300 ambao ni raia wameuawa katika matukio tofauti yanayohusisha makundi ya watu wenye silaha na vikosi vya serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC katika kipindi cha miezi minane iliyopita.

  • Wanamgambo wa CODECO waua watu 16 Kongo DR

    Wanamgambo wa CODECO waua watu 16 Kongo DR

    Jun 04, 2020 03:06

    Watu wasiopungua 16 wameuawa katika shambulizi jingine la kutisha la wanamgambo wa CODECO huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Ugonjwa wa Ebola waripotiwa tena kaskazini magharibi mwa Congo DR

    Ugonjwa wa Ebola waripotiwa tena kaskazini magharibi mwa Congo DR

    Jun 01, 2020 21:59

    Maafisa wa afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza kuwa, maambukizi ya ugonjwa wa Ebola yamerejea tena nchini humo.

  • SAUTI, Raia wa Kongo DR waandamana wakiitaka serikali kuchagua kati ya mambo mawili ima kuendekeza karantini au kusambaratika kwa uchumi

    SAUTI, Raia wa Kongo DR waandamana wakiitaka serikali kuchagua kati ya mambo mawili ima kuendekeza karantini au kusambaratika kwa uchumi

    May 28, 2020 12:34

    Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano kulalamikia kuporomoka thamani ya sarafu ya nchi hiyo mkabala wa dola ya Marekani.

  • UN: Kuna uwezekano kumejiri uhalifu wa kivita DRC

    UN: Kuna uwezekano kumejiri uhalifu wa kivita DRC

    May 28, 2020 07:13

    Umoja wa Mataifa umetahadahrisha kuwa kuna uwezekano kuwa kumejiri uhalifu wa kivita Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, baada ya watu kadhaa kuuawa na makundi ya watu wenye silaha.

  • Watu wengine 40 wauawa kwa kukatwa mapanga Kongo DR

    Watu wengine 40 wauawa kwa kukatwa mapanga Kongo DR

    May 28, 2020 03:29

    Watu wasiopungua 40 wameuawa katika shambulizi jingine la kutisha la wanamgambo wa ADF huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mpakani na Uganda.

  • Wanamgambo wa ADF washambulia Ituri DRC na kuua 17

    Wanamgambo wa ADF washambulia Ituri DRC na kuua 17

    May 27, 2020 03:29

    Kwa akali watu 17 wameuawa katika shambulizi la kundi la wanamgambo wa ADF huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • DRC yamuomba rais wa Zimbabwe apatanishe katika mgogoro wa mpaka na Zambia

    DRC yamuomba rais wa Zimbabwe apatanishe katika mgogoro wa mpaka na Zambia

    May 12, 2020 21:53

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC imemuomba Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe apatanishe katika mgogoro wa mpaka baina yake na Zambia.

  • Makumi ya wanamgambo wauawa katika mapigano Ituri, Kongo DR

    Makumi ya wanamgambo wauawa katika mapigano Ituri, Kongo DR

    May 09, 2020 08:00

    Wanamgambo 23 wameuawa katika mapigano baina yao na Jeshi la Ulinzi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) katika mkoa wa Ituri, kaskazini mwa nchi.

  • 43 wauawa katika makabiliano baina ya askari na wanamgambo DRC

    43 wauawa katika makabiliano baina ya askari na wanamgambo DRC

    Apr 28, 2020 02:46

    Kwa akali watu 43 wameuawa katika siku tatu za makabiliano baina ya wanajeshi na magenge ya wabeba silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS