-
Kampeni za uchaguzi mkuu kuanza kesho Jumatatu nchini Burundi
Apr 26, 2020 07:05Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametia saini rasmi amri ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu wa rais bunge na madiwani nchini humo. Kampeni hizo zitaanza kesho Jumatatu na kuendelea hadi Jumapili ya tarehe 17 mwezi ujao wa Mei.
-
Watu 17 wauawa katika shambulizi la kuvizia mashariki mwa Congo DR
Apr 25, 2020 02:57Watu wasiopungua 17 wameuawa na wengine kadhaa kijeruhiwa katika shambulizi lililolenga gari lililokuwa na walinzi wa mbuga ya taifa na abiria kadhaa huko mahariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Maelfu wapanga foleni kupewa kinywaji 'kinachotibu' corona Madagascar
Apr 23, 2020 22:02Maelfu ya wananchi wa Madagascar jana Alkhamisi walionekana kwenye foleni ndefu za kupokea kile kinachotajwa kuwa kinywaji malumu cha asili, cha kutibu ugonjwa wa Covid-19 unaojulikana kwa jina maarufu la corona.
-
Mvua, mafuriko na maporomoko ya ardhi yasababisha maafa Kenya
Apr 21, 2020 03:37Kwa akali watu 12 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo ya Kenya.
-
SAUTI, Huku Mkoa wa Kivu Kusini DRC ukiendesha vita dhidi ya virusi vya Corona, wakumbwa na maafa makubwa yanayosababishwa na mvua kali
Apr 20, 2020 11:54Uongozi wa mkoa wa Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umeendelea kuopoa maiti kutoka katika vifusi vya majengo na ndani ya maji ya mito ya mkoa huo, kufuatia mvua kali zilizonyesha siku ya Ijumaa na Jumamosi zilizopita.
-
Mafuriko yaua watu 25 mashariki mwa Kongo DR
Apr 19, 2020 03:25Kwa akali watu 25 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kesi nyingine mpya ya Ebola yaripotiwa DRC kabla ya siku chache za kutangazwa kumalizika kwake
Apr 11, 2020 02:24Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya kuthibitishwa kesi nyingine moja ya ugonjwa wa Ebola huko Jamhhuri ya Kidemokrasia ya Congo zikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya kutangazwa rasmi kumalizika kabisa ugonjwa huo nchini humo.
-
Corona yaua DRC na Mauritius, Algeria yafuta maandamano
Mar 21, 2020 22:07Mgonjwa wa corona ameaga dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hicho kikiwa ni kifo cha kwanza kilichosababishwa na ugonjwa huo nchini humo, huku kesi za maambukizi ya kirusi hicho barani Afrika zikiendelea kuongezeka.
-
Mtenda jinai za kivita DRC, Lubanga, aachiliwa huru
Mar 16, 2020 22:11Aliyekuwa kinara wa waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Thomas Lubanga ambaye alikuwa mtu wa kwanza kukamatwa kufungwa jela na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ameachiliwa huru baada ya kumaliza kifungo chake cha miaka 14.
-
Kesi ya kwanza ya Corona yaripotiwa DRC huku virusi hivyo vikiua Morocco
Mar 11, 2020 03:42Kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Corona (Covid-19) imeripotiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia, huku virusi hivyo hatarishi vikiendelea kusambaa katika maeneo mbali mbali duniani.