-
Watu 12 wauawa katika mapigano kati ya makundi yenye silaha Kongo DR
Aug 11, 2018 03:10Watu 12 wameuawa katika mapigano kati ya makundi yanayobeba silaha yaliyotokea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wagombea 23 kuchuana DRC kwa ajili ya kumrithi Rais Joseph Kabila
Aug 10, 2018 03:12Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, wagombea 23 wanatarajiwa kuchuana ili kuwania kumrithi Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.
-
Kuteuliwa Ramazani Shadary kumrithi rais Kabila kunaweza kuakhirisha uchaguzi Kongo DR
Aug 09, 2018 03:32Wasiwasi wa kuahirishwa uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka zaidi, siku moja tu baada ya chama tawala cha Rais Joseph Kabila kumtangaza Emmanuel Ramazani Shadary kuwa mbeba bendera ya chama hicho pamoja na vyama tanzu katika uchaguzi huo.
-
WHO: Nchi jirani ya DRC zichukue hatua kuzuia kuenea Ebola
Aug 05, 2018 20:51Shirika la Afya Duniani WHO limesema, hali mpya ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC inazilazimisha nchi za jirani kuchukua hatua za tahadhari ili kuzuia ungojwa huo hatari kuenea.
-
Watu 33 wafariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Aug 05, 2018 03:41Watu wasiopungua 33 wanaripotiwa kufariki dunia kwa ugonjwa wa Ebola mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, siku chache baada ya maambukizi ya ugonjwa huo hatari kuripotiwa tena nchini humo.
-
WHO yatangaza azma ya kukabiliana na Ebola DRC
Aug 04, 2018 03:42Shirika la Afya Duniani WHO, limesema litafanya kila liwezalo kudhibiti kuenea kwa mlipuko wa Ebola ambao umethibitishwa huko jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
-
Serikali ya DRC yamzuia kinara wa upinzani, Katumbi, kurejea na kushiriki uchaguzi
Aug 03, 2018 11:14Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa taarifa rasmi kwa Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani aliye uhamishoni kwamba imekataa suala la kurudi kwake nchini humo. Moise Katumbi alikuwa ametangaza kuwa atarudi nyumbani Ijumaa hii, Agosti 3.
-
WHO yachukua hatua za kudhibiti kirusi cha Ebola Kongo DR
Aug 02, 2018 03:36Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa limechukua hatua za kukabiliana na kuenea kirusi cha ugonjwa wa ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Katumbi kurejea DRC wiki hii kwa lengo la kuwania urais
Jul 31, 2018 11:21Billionea na mwanasiasa wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Moise Katumbi amesema anaomba ruhusu ya kurudi nyumbani wiki hii, kwa lengo la kuwania urais mwezi Desemba.
-
Congo DR yatangaza kumalizwa ugonjwa wa Ebola
Jul 25, 2018 01:52Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza rasmi kwamba maambukizi ya ogonjwa wa Ebola yamekomeshwa kikamilifu nchini humo.