Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Watu 6 wauawa mbugani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Watu 6 wauawa mbugani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Apr 10, 2018 03:04

    Askari watano na dereva mmoja wameuawa katika Mbuga ya Wanyamapori ya Virunga huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • SAUTI, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kongo DR atishia kumzuia Moïse Katumbi kugombea urais kwa kumshitaki

    SAUTI, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kongo DR atishia kumzuia Moïse Katumbi kugombea urais kwa kumshitaki

    Apr 09, 2018 13:24

    Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametishia kumfungulia mashitaka ya uhaini, Moïse Katumbi Chapwe mwezi wa Juni mwaka huu.

  • UN na Kongo DR zaingia katika mvutano, Kinshasa yazishawishi nchi kususia mkutano wa Geneva

    UN na Kongo DR zaingia katika mvutano, Kinshasa yazishawishi nchi kususia mkutano wa Geneva

    Apr 09, 2018 09:39

    Kwa kuzingatia maamuzi ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, inaelezwa kuwa serikali ya Kinshasa inafanya juhudi kwa ajili ya kuzishawishi nchi mbalimbali kususia kongamano la Geneva, Uswisi.

  • Ripoti: Kinara wa upinzani Congo alichukua uraia wa Italia

    Ripoti: Kinara wa upinzani Congo alichukua uraia wa Italia

    Apr 04, 2018 10:29

    Ripoti kutoka Italia zimefichua kuwa, kinara wa kambi ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi alichukua uraia wa Italia kuanzia mwaka 2000 hadi 2017.

  • Felix Tshisekedi kuwania urais katika uchaguzi ujao DRC

    Felix Tshisekedi kuwania urais katika uchaguzi ujao DRC

    Mar 31, 2018 11:11

    Chama kikuu cha upinzani nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo UDPS kimemtangaza Felix Tshisekedi kuwa mgombea wake katika uchaguzi mkuu wa rais uliopangwa kufanyika Disemba 23 mwaka huu.

  • Utafiti: Wakongomani 8 kati ya 10 hawamuungi mkono Rais Kabila wa DRC

    Utafiti: Wakongomani 8 kati ya 10 hawamuungi mkono Rais Kabila wa DRC

    Mar 30, 2018 10:42

    Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa, kwa kila raia kumi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanane hawamungi mkono Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.

  • Waasi wauwa watu 11 kaskazini mashariki mwa Kongo

    Waasi wauwa watu 11 kaskazini mashariki mwa Kongo

    Mar 29, 2018 00:04

    Waasi wenye silaha wamewauwa raia wasiopungua 11 katika shambulio moja kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Raia wengine wasiopungua elfu moja wameshauliwa na waasi hao hadi hivi sasa tangu mwaka 2014 katika mashambulizi kama hayo.

  • Kikosi cha MONUSCO chaongezewa muda wa kuhudumu DRC

    Kikosi cha MONUSCO chaongezewa muda wa kuhudumu DRC

    Mar 28, 2018 02:47

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekiongezea muda wa kuhudumu kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO.

  • EU yabainisha wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu nchini Kongo

    EU yabainisha wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu nchini Kongo

    Mar 25, 2018 23:53

    Umoja wa Ulaya umeeleza wasiwasi wake kuhusu kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Jeshi la DRC laua waasi 13 Ituri

    Jeshi la DRC laua waasi 13 Ituri

    Mar 25, 2018 10:09

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza kuua waasi 13 katika mapigano yaliyojiri katika mkoa wa Ituri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS