-
DRC kususia kikao cha wafadhili Geneva; yasema UN inaiharibia jina
Mar 24, 2018 02:57Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imesema haitashiriki mkutano wa wafadhili wake mjini Geneva, Uswisi kutokana na kile inachosema ni jina lake kuharibiwa.
-
Wakimbizi 36 kutoka DRC wafariki Uganda kutokana na ugonjwa wa kipindupindu
Mar 22, 2018 11:31Wakimbizi 36 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefariki kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu uliotokea magharibi mwa Uganda mwezi uliopita.
-
Watu elfu 60 wawa wakimbizi kufuatia mapigano ya kikabila kaskazini magharibi mwa Kongo DR
Mar 19, 2018 04:33Mapigano ya kikabila yanayoendelea eneo la kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, yamepelekea kwa akali watu elfu 60 kuwa wakimbizi.
-
UNHCR: Wakimbizi zaidi ya 57,000 wa DRC wameingia Uganda tangu kuanza mwaka huu
Mar 17, 2018 04:33Shirika la Kuuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, raia zaidi ya 57,000 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekimbilia katika nchi jirani ya Uganda tangu ulipoanza mwaka huu wa 2018.
-
Kinara wa upinzani DRC azindua azma ya kuwania urais akiwa uhamishoni
Mar 13, 2018 03:57Moise Katumbi, kiongozi mashuhuri wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyeko uhamishoni amezindua rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao baadaye mwaka huu.
-
Zerrougui: Changamoto nyingi zinaikabili Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mar 12, 2018 11:16Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa nchi hiyo inakabiliwa na changamoto na matatizo mengi kuhusu suala la kuendesha uchaguzi mwaka huu wa 2018.
-
Ghasia na machafuko yashadidi kaskazini mashariki mwa Congo DR
Mar 11, 2018 23:39Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kushadidi kwa ghasia na machafuko huko kaskazini mashariki kwa nchi hiyo kumewatia wasiwasi mkubwa wakazi wa maeneo hayo.
-
Watu saba waghariki Ziwa Albert wakikimbia mapigano DRC
Mar 10, 2018 04:14Kwa akali watu saba wamekufa maji wakikimbia mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya wakazi wa mashariki mwa Congo DR
Mar 09, 2018 22:01Taasisi za Umoja wa Mataifa zimetangaza kuwa, wakazi wa maeneo ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hususan katika mkoa wa Ituri wanakabiliwa na hali mbaya.
-
DRC yasisitiza kuwa uchaguzi wa rais utafanyika mwaka huu kama ulivyopangwa
Mar 08, 2018 12:39Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema uchaguzi wa rais utafanyika mwishoni mwa mwaka huu kama ulivyopangwa licha ya changamoto wanazokabiliwa nazo.