Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wahamia Rwanda kutoka Congo DR

    Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wahamia Rwanda kutoka Congo DR

    Mar 08, 2018 04:48

    Wakimbizi elfu mbili na mia tano wa Burundi wameingia katika nchi ya Rwanda wakitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

  • Waasi wa Uganda wa ADF-Nalu wafanya mashambulio mashariki mwa DRC na kuua watu 7

    Waasi wa Uganda wa ADF-Nalu wafanya mashambulio mashariki mwa DRC na kuua watu 7

    Mar 05, 2018 00:32

    Waasi wa Uganda wa ADF-Nalu wamefanya tena mashambulio katika eneo moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua watu saba.

  • Wasiwasi wa makamanda wa Marekani kutokana na vita tarajiwa vya Rais Trump dhidi ya Korea Kaskazini

    Wasiwasi wa makamanda wa Marekani kutokana na vita tarajiwa vya Rais Trump dhidi ya Korea Kaskazini

    Mar 03, 2018 04:09

    Katika kikao maalumu na baada ya kuchunguza athari za mashambulizi tarajiwa ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, makamanda wa jeshi la nchi hiyo wamesema kuwa, katika saa za mwanzo za mashambulizi hayo kwa akali askari elfu 10 wa Marekani watakuwa wameuawa.

  • Umoja wa Mataifa wasisitiza udharura wa kudhaminiwa amani DRC

    Umoja wa Mataifa wasisitiza udharura wa kudhaminiwa amani DRC

    Mar 01, 2018 04:16

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Maziwa Makuu amesisitiza juu ya azma ya umoja huo ya kudhamini amani na usalama pamoja na kutekelezwa makubaliano ya ushirikiano wa kiusalama katika eneo hilo.

  • Watu 15 wauawa katika wimbi jipya la machafuko Kasai, DRC

    Watu 15 wauawa katika wimbi jipya la machafuko Kasai, DRC

    Feb 28, 2018 04:25

    Watu wasiopungua 15 wameuawa katika wimbi jipya la mapigano katika eneo la Kasai huko Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.

  • Watu 22 wauawa Kongo katika mapigano ya kikabila

    Watu 22 wauawa Kongo katika mapigano ya kikabila

    Feb 27, 2018 10:37

    Kwa akali watu 22 wameuawa kwenye mapigano ya kikabila mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Kuongezeka machafuko na upinzani dhidi ya serikali DRC

    Kuongezeka machafuko na upinzani dhidi ya serikali DRC

    Feb 27, 2018 03:01

    Maandamano ya kuipinga serikali ya Rais Joseph Kabila ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamevunjwa kwa nguvu za polisi mjini Kinshasa. Taarifa zinasema kuwa mtu mmoja ameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa risasi za polisi.

  • Makumi ya wakimbizi wa DRC huko Uganda waaga dunia kwa kuharisha

    Makumi ya wakimbizi wa DRC huko Uganda waaga dunia kwa kuharisha

    Feb 23, 2018 04:11

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makumi ya wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepoteza maisha baada ya mlipuko wa ugonjwa wa kuharisha kuikumba kambi moja ya wakimbizi magharibi mwa Uganda.

  • Rais Kabila amteua waziri mpya wa masuala ya ndani, usalama wazorota DRC

    Rais Kabila amteua waziri mpya wa masuala ya ndani, usalama wazorota DRC

    Feb 21, 2018 04:05

    Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemteua mkuu wa chama chake cha kisiasa kuwa waziri mpya wa mambo ya ndani, kutokana na kushtadi ukosefu wa usalama na harakati za magenge ya waasi nchini humo.

  • Wafanyakazi wawili  wa kutoa misaada wauawa DRC

    Wafanyakazi wawili wa kutoa misaada wauawa DRC

    Feb 20, 2018 12:28

    Wafanyakazi wa shirika moja la Ufaransa la kutoa misaada wameuawa katika mapigano huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huku wa tatu akichukuliwa mateka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS