Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila mkoani Ituri Kongo

    Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila mkoani Ituri Kongo

    Feb 16, 2018 23:13

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetangaza habari ya kuuliwa makumi ya watu katika mapigano ya kikabila katika mkoa Ituri kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu watano wafariki dunia katika ajali ya msafara wa rais wa Kongo DR

    Watu watano wafariki dunia katika ajali ya msafara wa rais wa Kongo DR

    Feb 14, 2018 13:14

    Kwa akali watu watano wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha msafara wa rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • DRC yasema uchaguzi wa Disemba mwaka huu huenda usifanyike

    DRC yasema uchaguzi wa Disemba mwaka huu huenda usifanyike

    Feb 14, 2018 04:04

    Tume ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema uchaguzi mkuu uliotazamiwa kufanyika Disemba mwaka huu 2018 hautafanyika bila mashine za kielektroniki.

  • Afrika Kusini yachunguza ukandamizaji wa askari wake DRC

    Afrika Kusini yachunguza ukandamizaji wa askari wake DRC

    Feb 13, 2018 04:48

    Jeshi la Afrika Kusini limeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na askari wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • UN: Mashambulizi dhidi ya wanamgambo DRC yatawalazimisha maelfu ya raia kuyahama makazi yao

    UN: Mashambulizi dhidi ya wanamgambo DRC yatawalazimisha maelfu ya raia kuyahama makazi yao

    Feb 09, 2018 03:40

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, mashambulizi yanayoendelea dhidi ya wanamgambo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huwenda yakawalazimisha raia wapatao 370,000 kuyahama makazi yao.

  • Kongo DR yaiagiza Ubelgiji ifunge ubalozi wake nchini humo na ipunguze safari za ndege

    Kongo DR yaiagiza Ubelgiji ifunge ubalozi wake nchini humo na ipunguze safari za ndege

    Feb 07, 2018 04:47

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeagiza Ubelgiji ifunge ubalozi wake mdogo ulioko nchini humo sambamba na kupunguza safari za ndege za shirika la Brussels Airlines kueleka katika nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Watu 30 wauawa katika mapigano ya kikabila Kongo DR

    Watu 30 wauawa katika mapigano ya kikabila Kongo DR

    Feb 05, 2018 23:46

    Watu zaidi ya 30 wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea katika mkoa wa Ituri huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Tanzania yamkabidhi kiongozi wa waasi wa Kongo DR kwa serikali ya nchi hiyo

    Tanzania yamkabidhi kiongozi wa waasi wa Kongo DR kwa serikali ya nchi hiyo

    Feb 05, 2018 13:08

    John Tshibangu, Kanali mwasi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyetishia kumuondoa madarakani rais wa nchi hiyo Joseph Kabila amehamishwa kutoka Tanzania na kukabidhiwa kwa serikali ya DRC ambako atashtakiwa kwa kufanya uasi.

  • Serikali ya DRC yakosolewa kwa kuzuia kurejeshwa nchini humo mwili wa  Etienne Tshisekedi kwa ajili ya mazishi

    Serikali ya DRC yakosolewa kwa kuzuia kurejeshwa nchini humo mwili wa Etienne Tshisekedi kwa ajili ya mazishi

    Feb 02, 2018 01:08

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeendelea kukosolewa kutokana na kuzuia kurejeshwa nchini humo kwa ajili yua mazishi mwili wa kiongozi mkongwe wa upinzani Etienne Tshisekedi.

  • UNICEF yataka watoto wa DRC wasaidiwe haraka

    UNICEF yataka watoto wa DRC wasaidiwe haraka

    Jan 31, 2018 01:01

    Mjumbe wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (Unicef) huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameyataka mataifa ya dunia kukusanya dola milioni 268 za kudhamini mahitaji ya dharura ya watoto milioni 6 na laki tatu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS