-
Watu 9 wauwa katika mapigano Kasai, Kongo DR
Jan 30, 2018 13:17Kwa akali watu tisa wameripotiwa kuuawa katika mapigano ya siku mbili katika eneo la Kasai, huko Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.
-
Rais wa DRC akanusha kufanywa ukatili dhidi ya waandamanaji, abaki kimya kuhusu tarehe ya uchaguzi
Jan 27, 2018 13:25Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekanusha madai kuwa askari usalama wa serikali yake walitumia nguvu na ukandamizaji kuzima maandamano ya kupigania demokrasia yaliyochochewa na uamuzi wake wa kung'ang'ania kubaki madarakani baada ya muhula wake wa uongozi kumalizika.
-
Raia elfu 7 wa Kongo wakimbilia Burundi ndani ya siku tatu
Jan 27, 2018 04:07Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchi jirani ya Burundi kwenda kutafuta hifadhi katika kipindi cha siku tatu zilizopita.
-
MapiganoTanganyika na Kivu Kusini nchini DRC yapelekea watoto 800,000 kukosa makao
Jan 26, 2018 00:11Watu zaidi ya millioni moja , wakiwemo watoto 800,000 wamelazimika kuyahama makao yao kutokana na ghasia za kikabila pamoja na mapigano kati ya vikosi vya serikali na makundi yenye silaha pamoja na waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC.
-
Papa asikitishwa na mauaji ya waandamanaji Kongo DR
Jan 24, 2018 10:39Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametoa mwito wa kukomeshwa mauaji na ukandamizaji unaofanywa na maafisa usalama dhidi ya waandamanaji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wimbi la utekaji nyara watu laendelea kuikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jan 24, 2018 04:25Watu wengine watatu akiwemo askofu mmoja wametekwa nyara mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkorasia ya Kongo.
-
UN yasema jeshi la Congo limewalenga maafisa wake katika ghasia za hivi karibuni
Jan 23, 2018 11:37Msemaji wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa amesema kuwa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo liliwalenga pia maafisa wa umoja huo kwa kutumia nguvu kubwa kwa ajili ya kusambaratisha maandamano yaliyoitishwa na Kanisa Katoliki siku ya Jumapili iliyopita.
-
Malalamiko ya wanaharakati wa taasisi za kiraia za Kongo DR dhidi ya serikali ya Ufaransa
Jan 22, 2018 09:33Wanaharakati wa makundi ya kiraia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha malalamiko yao wakipinga siasa zinazotekelezwa na serikali ya Ufaransa kuhusu nchi yao.
-
Askari wa serikali Kongo DR waua raia watano katika maandamano ya kumpinga Rais Kabila
Jan 21, 2018 23:34Askari usalama wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewaua kwa kuwapiga risasi watu wasiopungua watano sambamba na kutumia gesi ya kutoa machozi kuvunja maandamano yaliyopigwa marufuku ya kumpinga Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila.
-
Jeshi la Kongo DR latangaza vita dhidi ya makundi mawili yanayobeba silaha
Jan 21, 2018 11:22Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametangaza kuwa jeshi limeingia vitani kupambana na makundi mawili yanayobeba silaha ili kukabiliana na machafuko na kukosekana kwa amani mashariki mwa nchi hiyo.