Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • Polisi Kongo DR yajiweka tayari kuzima maandamano dhidi ya Kabila

    Polisi Kongo DR yajiweka tayari kuzima maandamano dhidi ya Kabila

    Jan 21, 2018 04:05

    Maafisa wa polisi wameonekana wakilinda doria katika kila kona ya mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, masaa machache kabla ya kuanza maandamano ya kumshinikizi Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo aachie ngazi.

  • Museveni aituhumu UN kuwa 'inalinda ugaidi' Kongo DR

    Museveni aituhumu UN kuwa 'inalinda ugaidi' Kongo DR

    Jan 17, 2018 11:14

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameibua tuhuma nzito dhidi ya Umoja wa Mataifa akidai kuwa chombo hicho cha kimataifa 'kinalinda ugaidi' mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Jeshi la Kongo lazindua operesheni dhidi ya waasi wa ADF wa Uganda

    Jeshi la Kongo lazindua operesheni dhidi ya waasi wa ADF wa Uganda

    Jan 14, 2018 04:19

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeanzisha operesheni kali dhidi ya kundi la ADF la Uganda katika mji wa Beni mashariki mwa nchi.

  • UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu ghasia za karibuni nchini Kongo

    UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu ghasia za karibuni nchini Kongo

    Jan 10, 2018 04:08

    Umoja wa Mataifa umetaka kufanyika uchunguzi kuhusu ghasia zilizoikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi Disemba mwaka jana.

  • Kuenea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Kongo

    Kuenea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Kongo

    Jan 08, 2018 04:49

    Maafisa wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamearifu kuenea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu huko Kinshasa mji mkuu wa nchi hiyo kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo.

  • Kanisa Katoliki Kongo DR lalaani vikali ukandamizaji wa polisi dhidi ya wafuasi wake

    Kanisa Katoliki Kongo DR lalaani vikali ukandamizaji wa polisi dhidi ya wafuasi wake

    Jan 05, 2018 04:32

    Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limelaani vikali vitendo vya ukatili na ukandamizaji walivyofanyiwa watu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya shughuli ya kidini katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.

  • Umoja wa Ulaya wakosoa ukandamizaji wa serikali ya Congo DR dhidi ya wapinzani

    Umoja wa Ulaya wakosoa ukandamizaji wa serikali ya Congo DR dhidi ya wapinzani

    Jan 03, 2018 23:43

    Umoja wa Ulaya umewatuhumu maafisa wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuwa wanakabiliana kwa mabavu na matakwa ya wananchi wanaosisitiza udharura wa kuondoka madarakani rais wa sasa wa nchi hiyo.

  • Katibu Mkuu wa UN amtaka Rais wa Kongo atimize ahadi ya kuondoka madarakani

    Katibu Mkuu wa UN amtaka Rais wa Kongo atimize ahadi ya kuondoka madarakani

    Jan 01, 2018 12:49

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtaka Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aheshimu makubaliano yanayomtaka ang'atuke madarakani. Antonio Guterres ameyasema hayo baada ya kuuliwa watu wanane katika maandamano yaliyofanyika jana dhidi ya utawala wa Rais Kabila.

  • Kadhaa wauawa katika maandamano dhidi ya serikali Kongo DR

    Kadhaa wauawa katika maandamano dhidi ya serikali Kongo DR

    Dec 31, 2017 11:09

    Kwa akali watu wawili wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika ghasia za maandamano dhidi ya serikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Makundi ya waasi yazidi kusakamwa, wapiganaji 6 wa Mai-Mai wauawa DRC

    Makundi ya waasi yazidi kusakamwa, wapiganaji 6 wa Mai-Mai wauawa DRC

    Dec 29, 2017 04:20

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuua wanachama sita wa kundi la waasi wa Mai-Mai katika eneo la Kasindi mkoani Kivu Kaskazini, siku chache baada ya wapiganaji hao kuteketeza moto nyumba ya Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo katika mji wa Musienene katika mkoa huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS