-
Iran yalaani shambulio la kigaidi katika msikiti wa Imam Ali (as) nchini Syria
Dec 28, 2025 03:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika Msikiti wa Imam Ali ibn Abi Talib (AS) katika kitongoji cha Wadi al Dhahab katika mkoa wa Homs , Syria na kuuwa shahidi watu 5 na kujeruhi wengine 21.
-
Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia
Dec 28, 2025 03:35Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kukiukaji wazi mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Somalia.
-
Kiongozi Mkuu: Jamhuri ya Kiislamu imebatilisha mantiki potofu ya Magharibi kuhusu mwanamke
Dec 03, 2025 14:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameashiria mwenendo wa Magharibi wa kukazania kueneza utamaduni wake potofu duniani na kueleza kwamba: "wao wanadai kuwa mipaka maalumu iliyowekwa kwa ajili ya mwanamke, ikiwemo hijabu, vitazuia maendeleo yake,
-
Imam Khamenei: Suala la nyuklia na haki za binadamu ni visingizio tu, Marekani haifurahishwi na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu
Jul 30, 2025 03:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, sababu kuu ya upinzani wa ubeberu wa dunia unaoongozwa na Marekani mtenda jinai dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ni dini, elimu na umoja wa Wairani chini ya kivuli cha Qur'ani Tukufu na Uislamu.
-
Kufanyika kura ya maoni Palestina; mkakati na suluhisho la Iran
Jul 23, 2024 13:59Nasser Kanani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, "suluhisho bora zaidi la kuhitimisha hali haramu ya sasa katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni kufanyika kura ya maoni jumuishi kwa kushirikisha wakaazi wote na raia asili wa ardhi hiyo."
-
Kuendelea uthabiti wa sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 27, 2024 10:27Baada ya kufa shahidi Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Hossein Amir Abdullahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya 13, suala la kudumishwa uthabiti wa siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepewa mazingatio makubwa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mapenzi makubwa ya wananchi kwa shahidi Raisi ulikuwa ujumbe kwa dunia kwa manufaa ya Iran
May 24, 2024 16:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amemtaja Rais shahidi wa Iran kuwa ni dhihirisho la nara za Mapinduzi ya Kiislamu na kusema: Mapenzi waliyoonyesha wananchi kwake yametoa ujumbe kwa walimwengu kwa manufaa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Usalama kwenye uchaguzi; mafanikio muhimu ya kisiasa ya Iran
Feb 28, 2024 10:07Moja ya mafanikio na matunda muhimu zaidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miaka 45 iliyopita ni kufanyika chaguzi 39 katika mazingira salama na ya amani kamili.
-
Amir-Abdollahian: Israel inahatarisha usalama wa Asia Magharibi
Feb 21, 2024 07:45Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa wa Iran amesema kuwa, utawala haramu wa Israel umehatarisha usalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Iran yazindua mifumo mipya ya ulinzi ya kukabili makombora
Feb 17, 2024 11:34Jeshi la Iran limezindua mifumo mipya ya kistratijia katika sekta za makombora na ulinzi wa anga.