-
Alfajiri Kumi; Uongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya Imam Khomeini (M.A)
Feb 05, 2024 03:15Mtafiti na Mhadhiri wa Chuo Kikuu katika mji wa Zaria nchini Nigeria amesema kuwa, Ayatullah Khamenei anaongoza Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika njia sawa na ya Imam Khomeini (M.A).
-
Raisi: Damu za mashahidi wa Palestina zitaleta nidhamu ya dunia yenye uadilifu
Nov 19, 2023 14:36Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema 'nidhamu mpya ya dunia yenye uadilifu' itaibuka kutokana na damu za wananchi wa Palestina zilizomwagwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vyake vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Dola bilioni 1.7 za Iran zilizokuwa zimezuiliwa Luxemburg zaachiwa
Oct 08, 2023 03:24Dola bilioni 1.7 katika hazina ya fedha za kigeni za Iran zilizokuwa zimezuliwa nchini Luxemburg zimeachiliwa.
-
Rais Raisi: Kasi ya mwenendo wa maendeleo ya Iran katika nyuga tofauti inaongezeka
Sep 07, 2023 08:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran inaendelea kwa kasi kupiga hatua za maendeleo katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.
-
Waziri wa Kizayuni: Iran inaendesha ‘vita vya pande kadhaa vya kudhoofisha’ dhidi ya Israel
Apr 17, 2023 10:38Waziri wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema Iran inapigana dhidi ya utawala huo katika pande zote, huku kukiwepo na tahadhari zinazotolewa kuhusu uwezekano mkubwa wa kutokea vita vikubwa baada ya mageuzi tata ya kimahakama ya waziri mkuu wa utawala huo wa Kizayuni Benjamin Netanyahu kuzusha mgogoro wa ndani.
-
Mkurugenzi Mkuu wa ISESCO apongeza maadhimisho ya Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Apr 01, 2023 03:06Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (ISESCO) ametoa mkono wa kheri na fanaka na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya tarehe 12 Farvardin ambayo ni Siku ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Juhudi tasa za miongo minne za Marekani za kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 12, 2023 12:09Mamilioni ya Wairani jana Jumamosi walishiriki katika maandamano ya maadhimisho ya tarehe 22 Bahman (Februari 11) na kuadhimisha kwa hamasa kubwa miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu: Ilhamu ya kuhuisha Ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu
Feb 12, 2023 07:26Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mnaponitegea sikio wakati huu. Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kusikiliza mfululizo mwingine wa vipindi hivi maalumu tulivyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ambapo maudhui yetu ya leo ni kuhuishwa Ustaarabu wa kisasa wa Kiirani na Kiislamu. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Mapinduzi ya Iran; Muujiza wa Mwenyezi Mungu
Feb 07, 2023 11:20Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na katika kipindi kingine maalumu katika mfululizo wa vipindi vya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyopita ushindi 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini MA.
-
Nafasi ya Utawala wa Faqihi katika Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2023 12:34Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 44 wa ushidi wa Mapinduzi ya Kiislau ya nchini Iran.