-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Irani (3- Mipango ya Magharibi ya kuzusha machafuko nchini Irani)
Oct 23, 2022 07:57Matukio ya hivi karibuni nchini Iran yamekuwa kisingizio cha nchi za Magharibi kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na kuzidisha au kuchochea machafuko na ghasia.
-
Kazi kubwa iliyofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya kubatilisha fikra kuu ya Magharibi ya kutenganisha Dini na Siasa
Jul 29, 2022 06:05Siku ya Jumatano ya tarehe 27 Julai, ambayo ilisadifiana na maadhimisho ya kusaliwa Sala ya kwanza ya Ijumaa kote nchini Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Maimamu wa Sala Ijumaa kutoka kila pembe ya nchi walikwenda kuonana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Husainiya ya Imam Khomeini (MA).
-
Utamaduni wa Qur'ani katika Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 13, 2022 01:58Qur'ani Tukufu ndio chanzo muhimu zaidi cha elimu na maarifa ya Uislamu, ambacho, pamoja na vyanzo vingine vya elimu ya dini, mbali na kutumiwa katika maisha ya mtu binafsi na ya kiibada, vilevile huainisha mfumo wa jamii katika masuala ya kisiasa na kijamii.
-
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama
Feb 24, 2021 05:16Tarehe 21 mwezi huu wa Februari ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama. Lugha, wapenzi wasikilizaji, ni kitu muhimu sana katika maisha ya kiumbe mwanadamu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya kuhuisha ustaarabu wa Kiislamu
Feb 07, 2021 03:25Licha ya kupitia milima na mabonde mengi, lakini kufikia sasa Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kulinda nafasi na itibari yake ndani na nje ya nchi na ikiwa inaingia katika mwaka wake wa 42, imeongeza kasi yake kuelekea ustaarabu mpya wa Kiislamu.
-
Kusimama kidete Iran mbele ya vikwazo
Feb 06, 2021 04:06Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalum vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mpainduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Madai ya kukaririwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kinyume cha ukweli wa mambo
Oct 23, 2020 04:19Anwar Gargash Waziri Mshauri wa Mambo ya Nje katika Umoja wa Falme za Kiarabu ametuma ujumbe kupitia ukurasa wake wa Twitter na kudai kuwa, Iran inavuruga uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.
-
Malengo ya madai yasiyo na msingi ya Bahrain dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jul 01, 2020 03:19Abdullatif bin Rashid al Zayani, waziri wa mambo ya nje wa utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain amesema katika mkutano na waandishi wa habari alioufanya kwa pamoja na Brian Hook, mjumbe maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran kwamba eti Iran inaingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili ikiwemo Bahrain.
-
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama
Feb 21, 2020 06:36Tarehe 21 Februari inasadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama.
-
Mousavi: Iran itatoa jibu kali kwa hatua yoyote ya kijinga ya Israel
Feb 13, 2020 01:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza uvamizi au hatua yoyote ya kijinga dhidi ya maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria na katika eneo, basi utawala huo utapokea jibu kali ambalo litakuwa la majuto."