-
27 wapoteza maisha katika mafuriko Japan, makumi ya wengine watoweka
Jul 07, 2018 21:55Watu wasiopungua 27 wamepoteza maisha, watano wakiwa mahututi na wengine 47 hawajulikani waliko baada ya mvua kali kunyesha magharibi na katikati mwa Japan na kusababisha mafuriko.
-
Jumapili, Mei 20, 2018
May 19, 2018 21:51Leo ni Jumapili tarehe nne Ramadhan mwaka 1439 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 20 Mei mwaka 2018 Miladia.
-
Ubeberu mpya wa Marekani na majibu makali ya Japan
May 18, 2018 23:42Ubeberu mpya wa Marekani uliozikasirisha nchi waitifaki na wapinzani wake zikiwemo za Ulaya pamoja na China na Russia, umekuwa mkubwa kiasi kwamba hata Japan na Korea Kusini ambazo ni waitifaki wakubwa wa Washington nao wameshindwa kunyamaza na wametishia kuchukua hatua kali kujibu kuongezewa ushuru bidhaa zao zinazoingia nchini Marekani.
-
Korea Kusini yashangazwa na madai ya Japan kwamba inaitumia Korea Kaskazini mafuta
May 14, 2018 09:29Serikali ya Korea Kusini sambamba na kukanusha madai ya Japan kwamba, inatuma mafuta kwenda Korea Kaskazini kwa siri, imesema kuwa Seoul imefungamana vilivyo na vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Pyongyang.
-
Syria yataka kusitishwa jinai za kivita za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani
May 03, 2018 02:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemtumia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama la umoja huo ikitaka kusitishwa jinai za kivita zinazofanywa na muungano eti wa kimataifa chini ya uongozi wa Marekani dhidi ya taifa la Syria.
-
Korea Kaskazini: Vikwazo na mashinikizo dhidi Pyongyang havitakuwa na taathira yoyote
Mar 01, 2018 03:57Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa dhidi yake kamwe havitakuwa na taathira yoyote na kwa msingi huo jamii ya kimataifa inatakiwa kuhitimisha ndoto hizo za alinacha katika uwanja huo.
-
Korea Kaskazini yalaani majaribio ya makombora ya Marekani na Japan
Feb 23, 2018 21:19Serikali ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ya kulaani vikali majaribio ya makombora yaliyofanywa na Marekani na Japan.
-
Korea Kusini yakataa ombi la Japan la kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika Rasi ya Korea
Feb 11, 2018 01:13Rais Moon Jae in wa Korea Kusini ameonyesha kutoridhishwa na takwa la Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan la kutaka kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika peninsula ya Korea.
-
TV ya Japan yaomba radhi kwa kuwatisha raia kuwa Pyongyang ingeshambulia jana usiku
Jan 17, 2018 04:35Televisheni ya taifa nchini Japan NHK imewaomba radhi wananchi baada ya kutoa habari potovu kwamba Korea Kaskazini ingeshambulia nchi hiyo usiku wa jana.
-
Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan
Nov 29, 2017 04:45Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine la balestiki lililopaa juu ya kisiwa cha Japan na linaloweza kulenga sehemu yoyote ya ardhi ya Marekani, huku ikisisitiza kuwa sasa ina uwezo kamili wa kinyuklia.