Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Japan

  • Trump: Nilikuwa sijui kwamba duniani kuna nchi nyingi kiasi chote hiki

    Trump: Nilikuwa sijui kwamba duniani kuna nchi nyingi kiasi chote hiki

    Nov 08, 2017 04:22

    Rais wa Marekani, Donald Trump amedhihirisha kwa uwazi ujinga na upofu wake kuhusiana na elimu ya jiografia na siasa za kimataifa aliposema bila matani kwamba alikuwa hajui kuwa duniani kuna nchi nyingi kiasi chote hiki mpaka alipochaguliwa kuwa rais wa Marekani.

  • Ijumaa tarehe 27 Oktoba 2017

    Ijumaa tarehe 27 Oktoba 2017

    Oct 26, 2017 23:13

    Leo ni Ijumaa tarehe 7 Safar 1439 Hijria sawa na oktoba 27, 2017.

  • Marekani yazidi kufanya hali ya mambo Korea kuwa mbaya

    Marekani yazidi kufanya hali ya mambo Korea kuwa mbaya

    Oct 24, 2017 11:27

    Marekani imeendelea kufanya hali ya mambo katika eneo la Peninsula ya Korea kuwa mbaya na hivyo kuhatarisha usalama wa eneo hilo.

  • US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    US yaanzisha tena chokochoko katika Peninsula ya Korea

    Oct 11, 2017 04:49

    Kwa mara nyingine tena Marekani imefanya maneva ya kijeshi kwa kushirikiana na Korea Kusini na Japan katika Peninsula Korea.

  • Ijumaa tarehe Mosi Septemba, 2017

    Ijumaa tarehe Mosi Septemba, 2017

    Sep 01, 2017 00:53

    Leo ni Ijumaa tarehe 10 Dhulhijja 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe Mosi Septemba, 2017

  • Korea Kaskazini: Japan inajitafutia matatizo kwa kushirikiana na Marekani

    Korea Kaskazini: Japan inajitafutia matatizo kwa kushirikiana na Marekani

    Aug 31, 2017 03:30

    Serikali ya Pyongyang imetoa tahadhari kwa Japan kwamba, nchi hiyo inajitafutia matatizo kutokana na hatua yake ya kushirikiana na Marekani na lengo lake la kutaka kusimika ngao ya makombora ya AEGIS nchini humo.

  • Korea Kasazini yarusha kombora kuelekea Japan, UNSC kuitisha kikao cha dharura

    Korea Kasazini yarusha kombora kuelekea Japan, UNSC kuitisha kikao cha dharura

    Aug 29, 2017 03:08

    Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC kuitisha mkutano wa dharura baada ya Korea Kaskazini kuvurumisha kombora lililoruka katika anga yake na kudondoka katika pwani ya kisiwa cha Hokkaido, mashariki mwa Japan.

  • Jumatatu 14 Agosti, 2017

    Jumatatu 14 Agosti, 2017

    Aug 13, 2017 23:01

    Leo ni Jumatatu tarehe 21 Dhulqaada 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 mwezi Agosti mwaka 2017.

  • Jumamosi, Julai 29, 2017

    Jumamosi, Julai 29, 2017

    Jul 28, 2017 21:50

    Leo ni Jumamosi tarehe 5 Mfunguo Pili, Dhulqaadah 1438 Hijria mwafaka na tarehe 29 Julai mwaka 2017 Miladia.

  • Japan: Suala la kuzunguza na Korea Kaskazini limepitwa na wakati

    Japan: Suala la kuzunguza na Korea Kaskazini limepitwa na wakati

    Jul 18, 2017 21:57

    Msemaji wa serikali ya Japan, Norio Maruyama ametaka kuzidishwa mashinikizo dhidi ya Korea Kaskazini akisema kuwa muda wa kufanya mazungumzo na nchi hiyo umepita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS