Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Japan

  • China yaonya kuhusu makubaliano ya kijeshi kati ya Japan na Korea Kusini

    China yaonya kuhusu makubaliano ya kijeshi kati ya Japan na Korea Kusini

    Nov 25, 2016 01:26

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa tahadhari juu ya makubaliano ya kijeshi baina ya Japan na Korea Kusini.

  • Alkhamisi, 27 Oktoba, 2016

    Alkhamisi, 27 Oktoba, 2016

    Oct 27, 2016 02:16

    Leo ni Alkhamisi tarehe 25 Muharram 1438 Hijria sawa na Oktoba 27, 2016.

  • Afrika ingali na uwezo wa kuvutia uwekezaji

    Afrika ingali na uwezo wa kuvutia uwekezaji

    Aug 27, 2016 23:32

    Waziri Mkuu wa Japan ameanza ziara yake ya siku mbili huko Kenya kwa lengo la kushiriki katika Kongamano la Kimataifa la Tokyo kwa ajili ya Ustawi wa Afrika mashuhuri kama TICAD.

  • Jumatano 10 Agosti, 2016

    Jumatano 10 Agosti, 2016

    Aug 10, 2016 04:02

    Leo ni Jumatano tarehe 7 Dhilqaada 1437 Hijria sawa na tarehe 10 Agosti 2016.

  • Wajapan waandamana kulaani ziara ya Rais wa Marekani Hiroshima

    Wajapan waandamana kulaani ziara ya Rais wa Marekani Hiroshima

    May 27, 2016 23:19

    Maelfu ya wananchi wa Japan wameandamana kulaani kitendo cha Rais Barack Obama wa Marekani cha kukataa kuomba radhi kwa jinai zilizofanywa na nchi yake za kuishambulia kwa mabomu ya nyuklia miji ya Hiroshima na Nagasaki ya nchi hiyo.

  • Marekani yaendelea kukaidi kuomba radhi kwa kuua malaki ya watu Japan kwa mabomu ya atomiki

    Marekani yaendelea kukaidi kuomba radhi kwa kuua malaki ya watu Japan kwa mabomu ya atomiki

    May 23, 2016 23:20

    Rais wa Marekani ameapa kuwa hatoiomba radhi Japan kwa kuishambulia kijeshi nchi hiyo kwa mabomu ya atomiki.

  • Mitetemeko ya ardhi yaitikisa kusini mwa Japan, zaidi ya 16 waaga

    Mitetemeko ya ardhi yaitikisa kusini mwa Japan, zaidi ya 16 waaga

    Apr 16, 2016 03:25

    Zilzala ya pili yenye ukubwa wa 7.3 kwa kipimo cha rishta imeutikisa mji wa Kumamoto, katika kisiwa cha Kyushu eneo la kusini mwa Japan mapema leo na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 16 huku mamia ya wengine wakijeruhiwa na wengine wengi kuachwa bila makazi.

  • US: Kerry hatawaomba msahamaha Wajapan kutokana na mauaji ya Hiroshima

    US: Kerry hatawaomba msahamaha Wajapan kutokana na mauaji ya Hiroshima

    Apr 11, 2016 02:53

    Marekani imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo hataliomba msamaha taifa la Japan kutokana na mauaji ya maelfu ya watu wa Hiroshima yaliyofanywa na ndege za Marekani mwaka 1945.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS