Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Japan

  • Japan yataka Umoja wa Afrika upewe uanachama wa G20

    Japan yataka Umoja wa Afrika upewe uanachama wa G20

    Dec 20, 2022 02:40

    Japan imetangaza kuwa inaunga mkono pendekezo la kupewa uanachama Umoja wa Afrika (AU) katika kundi la G20.

  • Korea Kaskazini yafyatua kombora la balestiki kuelekea Japan

    Korea Kaskazini yafyatua kombora la balestiki kuelekea Japan

    Oct 04, 2022 07:51

    Korea Kaskazini imefyatua kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan, na kupelekea kusitishwa kwa usafiri wa treni katika baadhi ya maeneo, huku Wajapani katika maeneo ya kaskazini wakitakiwa kujificha.

  • Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia

    Kombora jipya la Korea Kaskazini na kiwingu kizito cha vita Kusini Mashariki mwa Asia

    Sep 26, 2022 08:20

    Hatua ya Korea Kaskazini ya kufanyia majaribio kombora lake jipya kuelekea upande wa Bahari ya Japan imepokewa kwa hisia kali na nchi mbili za Japan na Korea Kusini.

  • Ijumaa, 02 Septemba, 2022

    Ijumaa, 02 Septemba, 2022

    Sep 02, 2022 02:26

    Leo ni Ijumaa Mwezi Tano Mfunguo Tano Safar, 1444 Hijria sawa na tarehe Pili Septemba 2022 Miladia

  • Guterres: Wanaadamu wanacheza na bunduki iliyosheheni risasi

    Guterres: Wanaadamu wanacheza na bunduki iliyosheheni risasi

    Aug 06, 2022 08:01

    Katika kumbukumbu ya miaka 77 ya shambulio la mabomu ya nyuklia ya Marekani dhidi ya Japan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba ubinadamu unacheza na bunduki iliyosheheni risasi katika anga ya migogoro ya sasa ya hatari ya nyuklia.

  • Ushindi wa chama tawala cha Liberal Democratic Party of Japan katika uchaguzi wa Seneti

    Ushindi wa chama tawala cha Liberal Democratic Party of Japan katika uchaguzi wa Seneti

    Jul 12, 2022 10:06

    Chama tawala nchini Japan cha Liberal Democratic (LDP) na washirika wake wa muungano wa Chama cha Komeito waliimarisha udhibiti wao katikia Baraza la Juu la Bunge la nchi hiyo kwa kushinda zaidi ya viti 75 kati ya viti 125 vya taasisi hiyo.

  • Polisi ya Japan yakiri uzembe ulisababisha kuuawa Shinzo Abe

    Polisi ya Japan yakiri uzembe ulisababisha kuuawa Shinzo Abe

    Jul 10, 2022 09:31

    Jeshi la Polisi nchini Japan limekiri kuwa udhaifu katika mipango ya usalama ulipelekea kuuawa waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Shinzo Abe siku ya Ijumaa.

  • Kuuawa kigaidi Shinzo Abe; mwisho wa 'Tina' wa Japan

    Kuuawa kigaidi Shinzo Abe; mwisho wa 'Tina' wa Japan

    Jul 09, 2022 11:10

    Shinzo Aben, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan alifariki dunia Ijumaa asubuhi baada ya kupigwa risasi mbili katika tukio la ugaidi.

  • Dunia yalaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan

    Dunia yalaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan

    Jul 08, 2022 10:09

    Jamii ya kimataifa imeendelea kulaani mauaji ya kigaidi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe.

  • Ijumaa tarehe 20 Mei mwaka 2022

    Ijumaa tarehe 20 Mei mwaka 2022

    May 20, 2022 01:18

    leo ni Ijumaa tarehe 18 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria sawa na Mei 20 mwaka 2022.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS