-
Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 10, 2019 07:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kufanya mazungumzo na kila moja ya nchi za Kiarabu za ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuhusu masuala ya pande mbili na kieneo."
-
Iran yamshangaa Netanyahu kwa kutiwa kiwewe na safari ya Shinzo Abe nchini
Jun 10, 2019 03:30Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkejeli na kumshangaa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa kuingiwa na kiwewe kutokana na safari tarajiwa ya Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan hapa mjini Tehran.
-
Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini
May 26, 2019 21:51Rais Donald Trump wa Marekani anafanya safari ya siku tatu nchini Japan.
-
Mgogoro wa kibiashara washtadi kati ya Marekani na Japan licha ya Trump kuwepo mjini Tokyo
May 26, 2019 09:25Mgogoro wa kibiashara umeshtadi kati ya Marekani na Japan, licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwepo mjini Tokyo.
-
Zarif: Hakuna uwezekano wowote wa kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani
May 16, 2019 22:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufanya mazungumzo na Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia yanayofahamika kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Waziri Mkuu wa Japan mjini Tokyo
May 16, 2019 05:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amekutana na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe mjini Tokyo ambapo wamejadili uhusiano wa nchi mbili, masuala muhimu ya kieneo na kimataifa na hasa kuhusu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA.
-
Mataifa yenye uchumi mkubwa Asia, yapinga siasa za upande mmoja za Marekani
May 03, 2019 00:07Nchi za China, Japan na Korea Kusini ambazo zinajulikana kama nchi zenye uwezo mkubwa wa kiuchumii barani Asia, zimetangaza kupinga siasa mbovu za upande mmoja za Marekani katika nyuga za kimataifa.
-
Jumapili 23 Disemba
Dec 22, 2018 21:37Leo ni Jumapili tarehe 15 Rabiul Thani 1440 Hijria sawa na Disemba 23, 2018 Milaadia.
-
Jumamosi, 27 Oktoba, 2018
Oct 26, 2018 21:50Leo ni Jumamosi tarehe 17 Mfunguo Tano Safar 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 27 Oktoba 2018 Miladia.
-
Korea Kaskazini: Japan inakusudia kurejesha mfumo wa kijeshi katika eneo
Oct 18, 2018 04:34Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa azma ya Japan ya kuelekea kwenye mfumo wa kijeshi kwamba, kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo ni kurejesha kipindi kilichopita cha umwagaji damu.