-
Idadi ya waliofariki dunia katika mtetemeko wa ardhi wa Japan wafikia 44, majeruhi ni 660
Sep 10, 2018 02:45Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliotokea kaskazini mwa Japan wiki iliyopita imefikia watu 44 huku wengine 660 wakijeruhiwa. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa rasmi ya serikali iliyotolewa leo Jumatatu.
-
Jumapili, Septemba 9, 2018
Sep 09, 2018 03:44Leo ni Jumapili tarehe 28 Mfunguo Tatu, Dhul-Hijjah 1439 Hijiria, sawa na tarehe tisa Septemba mwaka 2018 Miladia.
-
Japan yasisitiza kuendelea kununua mafuta ya Iran
Sep 04, 2018 09:12Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan amesisitiza kufanyika juhudi za kuendelea kuagiza mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jumamosi, Septemba Mosi, 2018
Aug 31, 2018 23:36Leo ni Jumamosi tarehe 20 Mfunguo Tatu Dhulhija 1439 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Septemba mwaka 2018 Miladia.
-
Hamu ya Korea Kaskazini kuboresha uhusiano wake na Japan
Aug 28, 2018 03:26Mwanzoni mwa mwezi huu, Korea Kaskazini ilimuachilia huru raia wa Japan aliyekamatwa na nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya ujasusi.
-
Trump na Shinzo Abe: Tutaendelea kuibana kwa vikwazo Pyongyang
Aug 24, 2018 03:26Rais Donald Trump wa Marekani na Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan wamesema kuwa, wataendeleza vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini ili kutatuliwa kadhia ya silaha za nyuklia katika Rasi ya Korea.
-
Korea Kaskazini yalalamikia undumakuwili wa Marekani katika uga wa nyuklia
Aug 06, 2018 08:29Serikali ya Korea Kaskazini kupitia gazeti la chama tawala la Rodong Sinmun, imesema kuwa, hatua ya kurefushwa mkataba wa nyuklia kati ya Marekani na Japan ni kitendo kilicho 'dhidi ya ubinaadamu na dhidi ya amani.'
-
Korea Kaskazini yapinga mpango wa Japan wa kuweka ngao ya makombora
Jul 30, 2018 00:09Serikali ya Korea Kaskazini im imekosoa hatua ya Japan ya kutaka kuweka ngao ya makombora ndani ya nchi hiyo na kuongeza kuwa Shinzō Abe, Waziri Mkuu wa Japan anakusudia kuibadili nchi yake iwe dola lenye nguvu za kijeshi.
-
Jumapili, 29 Julai, 2018
Jul 28, 2018 20:51Leo ni Jumapili tarehe 15 Mfunguo Pili, Dhul-Qaadah 1439 Hijiria, mwafaka na tarehe 29 Julai 2018 Miladia.
-
Waliopoteza maisha katika mafuriko, maporomoko Japan ni zaidi ya watu 140
Jul 10, 2018 03:13Watu zaidi ya 140 wamepoteza maisha, huku hatima ya makumi ya wengine ikiwa haijulikani kutokana na athari za mvua kubwa zilizonyesha magharibi na katikati mwa Japan.