Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Iran haiwezi kusalimu amri mbele ya kujitakia makuu Marekani

    Iran haiwezi kusalimu amri mbele ya kujitakia makuu Marekani

    Apr 04, 2022 22:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu katu haiwezi kusalimu amri mkabala wa uchu, tamaa na kujitakia makuu Marekani.

  • Marekani yaendeleza msimamo ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA

    Marekani yaendeleza msimamo ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA

    Mar 27, 2022 23:09

    Mwakilishi maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran ameendeleza msimamo wa Washington ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA kwa kudai kwamba, serikali ya sasa haiwezi kutoa hakikisho na dhamana juu ya maamuzi yatakayochukuliwa na serikali ijayo ya Marekani kuhusu makubaliano hayo.

  • Iran na EU zajadili masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna

    Iran na EU zajadili masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna

    Mar 27, 2022 07:59

    Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna, Ali Baqeri Kani amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Enrique Mora, mratibu wa mazungumzo ya Vienna, ambapo wamejadili hatua zilizopigwa na masuala yaliyosalia katika mazungumzo hayo yanayofanyika huko Austria.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Russia na matokeo yake

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Russia na matokeo yake

    Mar 17, 2022 03:08

    Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliwasili mjini Moscow siku ya Jumanne akiongoza ujumbe wa ngazi za juu kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na Sergey Lavrov, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Russia kuhusu masuala ya pande mbili, mazungumzo ya Vienna, Ukraine, Syria, Yemen na Afghanistan.

  • Iran: Kujitakia makuu Marekani kusiathiri masuala muhimu Vienna

    Iran: Kujitakia makuu Marekani kusiathiri masuala muhimu Vienna

    Mar 10, 2022 23:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema masuala ya msingi na kuondolewa Iran vikwazo havipaswi kuathiriwa na tabia ya kujitakia makuu Marekani.

  • Iran yaionya Marekani, yasema ina mpango wa pili iwapo mazungumzo ya Vienna yatafeli

    Iran yaionya Marekani, yasema ina mpango wa pili iwapo mazungumzo ya Vienna yatafeli

    Mar 01, 2022 07:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Saeed Khatibzadeh ameionya Marekani kuhusu ‘kuhadaa na kuboronga’ katika mazungumzo ya Vienna yaliyoitishwa kufufua mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 ya JCPOA. Katika ujumbe wake kupitia Twitter mapema Jumanne, Khatibzadeh amesema Iran iko tayari kufikia mapatano kupitia mazungumzo lakini haitasubiri milele.

  • Amir-Abdollahian: Mazungumzo ya Vienna yatafanikiwa iwapo nchi za Magharibi zaitabadilisha msimamo

    Amir-Abdollahian: Mazungumzo ya Vienna yatafanikiwa iwapo nchi za Magharibi zaitabadilisha msimamo

    Feb 27, 2022 01:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na kusema baadhi ya masuala muhimu yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna ya kuondolewa Iran vikwazo yanaweza kutatuliwa.

  • Iran kuendelea kurutubisha urani kwa 20% hata ikiondolewa vikwazo

    Iran kuendelea kurutubisha urani kwa 20% hata ikiondolewa vikwazo

    Feb 25, 2022 23:09

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuzalisha madini ya urani iliyoritubishwa kwa kiwango cha asilimia 20, hata kama itaondolewa vikwazo katika mazungumzo ya Vienna yanayolenga kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • EU: Mazungumzo ya Vienna yamefika katika marhala hasasi

    EU: Mazungumzo ya Vienna yamefika katika marhala hasasi

    Feb 22, 2022 23:10

    Naibu Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema mazungumzo ya Vienna yenye lengo la kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanaelekea ukingoni, na hivi sasa yako katika marhala hasasi na nyeti.

  • Raisi: Makubaliano yoyote ya Vienna sharti yajumuishe kuondolewa vikwazo Iran

    Raisi: Makubaliano yoyote ya Vienna sharti yajumuishe kuondolewa vikwazo Iran

    Feb 20, 2022 00:18

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapatano yoyote yatakayofikiwa kwenye mazungumzo ya Vienna yenye lengo la kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA lazima yajumuishe suala la kuondolewa vikwazo taifa la Iran, sanjari na kupasishwa kwa kipengee kuhusu dhamana yenye itibari, na vile vile kujizuia na masuala ya kisiasa na kuibua tuhuma zisizo na msingi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS