-
Rais Rouhani: Iran itatoa jibu kali kwa atakayekiuka haki ya mapatano ya JCPOA
Sep 18, 2017 03:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitoanza kukiuka kwa aina yoyote makubaliano ya kimataifa, lakini ikiwa upande wa pili umekusudia kukiuka haki ya raia wa Iran, basi Tehran itatoa jibu kali katika uwanja huo.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu uafiriti wa Marekani juu ya JCPOA
Sep 18, 2017 01:40Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran amezungumzia uafiriti na ukhabithi wa Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA na kusisitiza kuwa, kosa lolote litakalofanywa kuhusu makubaliano hayo litapata majibu kutoka kwa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Amiri Jeshi Mkuu Iran: Hatua yoyote ghalati kuhusu JCPOA itakabiliwa na jibu la Iran
Sep 17, 2017 09:22Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vyote vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Taifa la Iran limesimama kidete na litaoa jibu kwa hatua yoyote ghalati kuhusu mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.
-
Rais Rouhani wa Iran aelekea New York katika mkutano wa UN
Sep 17, 2017 03:21Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni kwa maslahi ya amani na uthabiti sio tu kwa eneo hili la Mashariki ya Kati bali kwa dunia nzima.
-
Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya uipatie Marekani ujumbe wa wazi kabisa kuhusu makubaliano ya JCPOA
Sep 16, 2017 09:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria ukiukaji wa Marekani wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) amesisitiza kwamba, Tehran inataraji kuuona Umoja wa Ulaya kwanza ukiyafanyia kazi kivitendo makubaliano hayo na pili, ukiishinikiza Marekani ili itekeleze kikamilifu makubaliano hayo.
-
EU yaunga mkono kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA
Sep 13, 2017 10:28Umoja wa Ulaya (EU) umeunga mkono kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Yukiya Amano: Iran inatekeleza ahadi zake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Sep 11, 2017 11:17Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa mara nyingine tena amethibitisha kwamba, Iran imeheshimu na kufungamana na ahadi zake zote kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Iran: Marekani inafuatilia maslahi yake tu katika Mashariki ya Kati
Sep 11, 2017 11:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema baadhi ya nchi za eneo na Marekani zinatumia baadhi ya misamiati kwa ajili ya kufanikisha malengo na maslahi yao.
-
Merkel: JCPOA itumiwe kama mfano wa kutatua mgogoro wa Korea Kaskazini
Sep 10, 2017 03:07Kansela wa Ujerumani amesema yuko tayari kujihusisha na jitihada za kuupatia ufumbuzi mgogoro katika Peninsula ya Korea kwa njia ya kidiplomasia na kutoa mwito wa kutumiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran kama kigezo cha kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.
-
New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA
Sep 09, 2017 12:00Gazeti la New York Times sambamba na kuvitaja kuwa vichekesho visingizio vinavyotolewa na Marekani ili kutaka kujiondoa katika mkataba wa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA, limeionya Washington kuwa itapata hasara kubwa endapo itachukua hatua hiyo.