Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar

    Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar

    Sep 08, 2017 14:24

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa hakuna matumaini ya kuona taasisi za kimataifa zikisaidia kuzuia mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na ameyataka mataifa ya Kiislamu kuamka na kusimama kidete dhidi ya jinai zinazofanywa na jeshi na Mabudha wa nchi hiyo.

  • Mogherini na Amano wachunguza mwenendo wa utekelezaji wa makubaliano ya JCPOA

    Mogherini na Amano wachunguza mwenendo wa utekelezaji wa makubaliano ya JCPOA

    Sep 05, 2017 02:34

    Bi Federica Mogherini Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya na Yukia Amano Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) jana alasiri walichunguza mwenendo wa utekelezaji wa makubaliano ya JCPOA.

  • IAEA: Iran imetekeleza majukumu yake yote kuhusu JCPOA

    IAEA: Iran imetekeleza majukumu yake yote kuhusu JCPOA

    Aug 31, 2017 22:58

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) umetoa ripoti yake ya msimu ukisisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu yake yote kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • EU yasisitizia haja ya kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA

    EU yasisitizia haja ya kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA

    Aug 29, 2017 02:58

    Kwa mara nyingine tena Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na ahadi zake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina yake na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA na kusisitizia udharura wa kuheshimiwa hati hiyo.

  • Balozi wa Iran UN: Marekani ijifunze kutokana na makosa iliyofanya huko nyuma

    Balozi wa Iran UN: Marekani ijifunze kutokana na makosa iliyofanya huko nyuma

    Aug 18, 2017 22:40

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu daima imekuwa ikipigania amani na uthabiti; na amewataka viongozi wa Marekani wajifunze kutokana na makosa waliyofanya huko nyuma.

  • Rais Rouhani: Makubaliano ya JCPOA ni kwa maslahi ya Iran, Mashariki ya Kati na ulimwengu

    Rais Rouhani: Makubaliano ya JCPOA ni kwa maslahi ya Iran, Mashariki ya Kati na ulimwengu

    Aug 13, 2017 09:03

    Rais Hassan Rouhani amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni kwa maslahi ya Iran, Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa ujumla na kwamba, kila atayetaka kuyadhuru makubaliano haya atakuwa amejidhuru yeye na nchi yake.

  • Majibu ya Iran kwa Kongresi ya Marekani, Washington inavuruga usalama M. ya Kati

    Majibu ya Iran kwa Kongresi ya Marekani, Washington inavuruga usalama M. ya Kati

    Aug 11, 2017 21:48

    Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Bunge la Iran imepasisha mpango kamili wa kukabiliana na chokochoko na ugaidi wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Dakta Salehi: Jibu la Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA litakuwa la kushtukiza

    Dakta Salehi: Jibu la Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA litakuwa la kushtukiza

    Aug 10, 2017 09:28

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa, kama Iran ikitaka kutoa jibu kwa ukiukaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Utekelezaji wa Pamoja (JCPOA) basi jibu lake litakuwa ni la kushtukiza.

  • Iran: US ijiandae kwa matokeo mabaya ikikiuka JCPOA

    Iran: US ijiandae kwa matokeo mabaya ikikiuka JCPOA

    Aug 09, 2017 03:08

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitahadharisha Marekani na matokeo mabaya itakayoyapata iwapo itaamua kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Vienna.

  • Araqchi: Vikwazo vipya vya US vinalenga kuisambaratisha JCPOA

    Araqchi: Vikwazo vipya vya US vinalenga kuisambaratisha JCPOA

    Aug 03, 2017 02:55

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kusaini sheria ya vikwazo vipya dhidi ya Tehran ni njama ya Washington ya kutaka kusambaratisha makubaliano ya nyuklia ya Vienna yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS