Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jela

  • Watoto wachanga watano wafariki Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali

    Watoto wachanga watano wafariki Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali

    Feb 25, 2025 10:59

    Watoto wachanga watano wamefariki dunia katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali katika eneo hilo lililowekewa mzingiro na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuzuiwa kuingizwa misaada ya kibinadamu ikiwemo ya vifaa vya huduma za tiba.

  • Magereza ya Uingereza; uwanja wa kujifaragua magenge ya uhalifu

    Magereza ya Uingereza; uwanja wa kujifaragua magenge ya uhalifu

    Jan 15, 2025 07:38

    Mkaguzi Mkuu wa Magereza nchini Uingereza ametahadharisha kuwa matumizi ya ndege zisizo na rubani (droni) kuingiza silaha na mihadarati katika magereza ya nchi hiyo ni tishio kwa usalama wa taifa licha ya ulinzi mkali uliopo.

  • Mwaka mmoja baada ya Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa; Israel yaendeleza mauaji ya kimbari

    Mwaka mmoja baada ya Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa; Israel yaendeleza mauaji ya kimbari

    Oct 07, 2024 07:25

    Jumatatu ya leo 7 Oktoba inasadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilipotekeleza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa dhidi ya utawala haramu wa Israel.

  • Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

    Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

    Nov 22, 2022 10:39

    Wizara ya Mateka na Wafungwa wa Kipalestina Walioachiliwa Huru kutoka gerezani imetangaza kuwa, hivi sasa kuna watoto 170 wa Kipalestina katika magereza ya Israel huku watano kati yao wakishikiliwa pasi na kuelezwa tuhuma na makosa yao.

  • Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano

    Newsweek: Trump yumkini akafungwa jela miaka mitano

    Feb 21, 2022 01:13

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, huenda akafungwa jela miaka mitano kwa madai kwamba alichukua nyaraka za siri za Ikulu ya Rais wa Marekani kuhusiana na usalama wa taifa alipoondoka madarakani mwaka jana.

  • Sauti ya mlipuko yasikika Baghdad mji mkuu wa Iraq

    Sauti ya mlipuko yasikika Baghdad mji mkuu wa Iraq

    Jan 24, 2022 08:17

    Duru za habari zimearifu kuwa sauti ya mlipuko imesikika mapema leo magharibi mwa Baghdad mji mkuu wa Iraq.

  • Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad: Jela za Saudia ni makaburi ya waandishi wa habari

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad: Jela za Saudia ni makaburi ya waandishi wa habari

    Nov 16, 2021 06:52

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Sanad limeripoti kuwa jela za Saudi Arabia zimekuwa makaburi ya waandishi wa habari wanaoukosoa utawala wa kifalme wa nchi hiyo.

  • Mauaji mengine ya kutisha gerezani yaripotiwa Ecuador

    Mauaji mengine ya kutisha gerezani yaripotiwa Ecuador

    Nov 14, 2021 08:10

    Wafungwa wasiopungua 68 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika ghasia zilizotokea kwenye gereza moja nchini Ecuador.

  • Waasi washambulia gereza Nigeria, zaidi ya mahabusu 800 watoroka

    Waasi washambulia gereza Nigeria, zaidi ya mahabusu 800 watoroka

    Oct 24, 2021 07:51

    Idara ya Magereza ya Nigeria imetangaza kuwa watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wameshambulia magereza moja huko kusini magharibi mwa nchi hiyo na kuachia huru mahabusu 837.

  • Wafungwa zaidi ya mia moja wauawa gerezani Ecuador, 6 kati yao wamekatwa vichwa

    Wafungwa zaidi ya mia moja wauawa gerezani Ecuador, 6 kati yao wamekatwa vichwa

    Sep 30, 2021 10:27

    Rais wa Jamhuri ya Ecuador ametangaza kuwa wafungwa wasiopungua 116 wameuawa na wengine karibu 80 wamejeruhiwa katika ghasia zilizotokea kwenye gereza moja nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS