-
Mkuu wa upinzani Kongo DR ahukumiwa miaka 3 jela
Jun 23, 2016 03:24Mahakama moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemhukumu miaka mitatu jela, kinara wa upinzani nchini humo ambaye pia ni mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao, Moise Katumbi, aliyekuwa anakabiliwa na tuhuma za mauzo ya nyumba kinyume cha sheria.
-
Ripoti: Idadi ya Wamarekani weusi wanaofungwa jela ni mara 5 zaidi ya Weupe
Jun 19, 2016 10:11Ripoti mpya imefichua kuwa Wamarekani wenye asili ya Afrika wako katika hatari ya kuburuzwa jela mara tano zaidi kuliko wenzao Weupe.
-
Bahrain imeweka rekodi ya kuwa na wafungwa wengi katika Mashariki ya Kati
Jun 11, 2016 23:59Bahrain inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wafungwa kati ya nchi za Mashariki ya Kati kulingana na idadi ya raia wote wa nchi hiyo.
-
Watoto wawili wa Rais wahukumiwa kifungo jela kwa mihadarati
Jun 04, 2016 00:05Duru za habari kutoka nchini Mauritania zimetangaza habari ya kuhukumiwa kifungo jela watoto wawili wa rais wa zamani wa nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya magendo ya mihadarati.
-
Bahrain yakataa kumuachia huru mtoto wa miezi 17
May 24, 2016 11:51Serikali ya Bahrain imekataa ombi la mfungwa wa kisiasa Zainab al-Khawaja, kumuachia huru mwanawe wa miezi 17, kwa kuwa hali yake imedhoofu na hawezi tena kumshughulikia.
-
21 wahukumiwa kifungo cha maisha jela Burundi kwa 'kupanga mapinduzi'
May 10, 2016 02:25Mahakama ya Juu ya Burundi imetoa hukumu ya maisha jela kwa maafisa 21 wa jeshi la nchi hiyo, wanaodaiwa kuhusika na njama iliyofeli ya kuipindua serikali mwezi Mei mwaka jana wa 2015.
-
Ripoti: Idadi ya wafungwa watoto wa Kipalestina katika jela za Israel yaongezeka
Apr 24, 2016 03:00Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kutisha za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.
-
Jela ya wenye misimamo mikali kujengwa Kenya
Feb 17, 2016 11:41Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema njia pekee ya kupunguza kuenea athari mbaya za ugaidi na madudu yake ni kupitia kuundwa jela ya aina yake itakayotumiwa kuwafungia watu wenye misimamo mikali.