-
Jeshi la Lebanon lawekwa mpakani baada ya Madaesh kutimuliwa kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria
Aug 29, 2017 22:41Kufuatia kutimuliwa magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linalopata uungaji mkono wa Marekani, Israel na Saudia katika mpaka wa pamoja wa Syria na Lebanon, Jumanne ya jana jeshi la Lebanon lilituma askari wake katika miinuko ya Al-Qalamoun walipokuwako magaidi hao wakufurishaji.
-
Iran na Uturuki zajadili kuimarisha uhusiano wa kiulinzi
Aug 17, 2017 02:15Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Uturuki mjini Ankara, kuhusu umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kiulinzi wa pande mbil
-
Kamanda wa zamani al-Shabaab ajiunga na serikali ya Somalia
Aug 13, 2017 23:06Aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo la ukufurishaji Mukhtar Robow Abu Mansur, amejisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Rouhani: Hakuna anayeweza kuthubutu kulidhuru jeshi la Iran
Jul 30, 2017 23:59Rais Hassan Rouhani amesema mihimili mitatu ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaviunga mkono kwa dhati vikosi vya jeshi la Iran na kwa msingi huo hakuna anayeweza kulidhuru jeshi hilo wala Iran.
-
UN yawatuhumu wanajeshi wa DRC kuhusika na mauaji ya Kasai
Jul 26, 2017 03:15Umoja wa Mataifa umelituhumu kwa njia isiyo ya moja kwa moja jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa limehusika na mauaji ya umati katika eneo la Kasai.
-
Jeshi la Misri laangamiza magaidi 40 katika eneo la Sinai
Jul 26, 2017 03:13Jeshi la Misri limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi, katika operesheni yake yenye lengo la kuwafuta kabisa magaidi wenye misimamo mikali ambao wanaendeleza harakati zao katika Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Eneo muhimu ya Kipese DRC lakombolewa na jeshi kutoka mikoni mwa waasi
Jul 16, 2017 23:52Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa, eneo la kiistratejia la Kipese lililokuwa chini ya udhibiti wa wanamgambo wanaobeba silaha limekombolewa la jeshi la nchi hiyo.
-
Alkhamisi Julai 13, 2017
Jul 12, 2017 22:08Alkhamisi tarehe 18 Shawwal 1438 Hijria, sawa na Julai 13, 2017.
-
Hatimaye jeshi la Syria laingia mkoa wa Deir Ezzor baada ya miaka kadhaa
Jun 24, 2017 23:11Askari wa kikosi cha nchi kavu cha Syria wameweza kuingia mkoa wa Deir Ezzor, mashariki mwa nchi hiyo sambamba na kudhibiti maeneo yake tofauti.
-
Meli za Kivita za Iran kuelekea Bahari ya Hindi kulinda doria
May 28, 2017 09:14Msafara wa meli za kivita za Iran zinatazamiwa kuelekea katika Bahari ya Hindi mwezi ujao kulinda doria na kusindikiza meli za mafuta na za kibiashara za Iran.