-
HRW: Serikali na wanaotaka kujitenga wamehusika na jinai Cameroon
Jul 20, 2018 20:48Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema jeshi la serikali na kundi linalotaka kujitenga eneo la watu wanaozungumza Kiingereza Cameroon wamehusika katika mauaji na jinai nyingine za kutisha nchini humo.
-
Kwa mara ya pili mfululizo, Saudia yawekwa kwenye orodha nyeusi ya nchi zinazokiuka haki za watoto duniani
Jul 04, 2018 22:11Kamanda wa muungano wa wavamizi wa Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia amekanusha ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inayosisitiza kuwa muungano huo unaua watoto wadogo wa Yemen.
-
Ansarullah: Umoja wa Mataifa unahalalisha uvamizi wa Saudia na waitifaki wake Yemen
Jun 16, 2018 21:02Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imetangaza kuwa, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo hajafanya lolote la maana na anafanya juhudi za kuhalalisha uvamizi wa Yemen. Taarifa ya harakati hiyo imesisitiza kuwa, utendaji wa mwakilishi wa sasa wa Katibu Mkuu wa UN nchini Yemen hautofautiani na ule wa mwakilishi wa kabla yake.
-
Saudia yaendelea kutumia silaha zilizopigwa marufuku nchini Yemen
Jun 15, 2018 02:20Ndege za kivita za Saudi Arabia zimelishambulia eneo la Khadhrawan katika mkoa wa Sa'ada kwa kutumia mabomu ya vishada yaliyopigwa marufuku kimataifa.
-
Mohammad bin Salman; baina ya kulewa madaraka na jinamizi la kuhukumiwa kwa jinai zake
Jan 21, 2018 09:57Msemaji wa shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lianze kumfuatilia kisheria na kumchukulia hatua Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa Saudia kutokana na jinai za kivita anazozitenda nchini Yemen
-
Kushtadi mauaji ya Saudi Arabia ikishirikiana na Marekani dhidi ya wananchi wa Yemen
Dec 30, 2017 04:39Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen amekosoa vikali kuendelea kuuawa kiholela raia katika nchi hiyo, mauaji ambayo yamekuwa yakifanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Kuuawa watoto; mhimili wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen
Dec 26, 2017 23:11Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeashiria maafa makubwa ya vita vya Saudi Arabia dhidi ya Yemen na kuipa hujuma hiyo ya kijeshi ya Aal Saud jina la "Vita Dhidi ya Watoto".
-
Amnesty yailaani UN kwa kujaribu kudunisha jinai za Saudia nchini Yemen
Oct 07, 2017 23:11Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeulaani Umoja wa Mataifa kwa kujaribu kudunisha jinai za muungano wa Saudi Arabia dhidi ya watoto wa Yemen katika vita dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Indhari ya Yemen kwa utawala haramu wa Israel baada ya kuipatia Saudia kambi zake za kijeshi
Sep 30, 2017 04:34Naibu msemaji wa jeshi la Yemen ameonya kwamba, kambi za kijeshi za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zilizoko katika visiwa vya Eritrea katikati ya Bahari Nyekundu, zinatumiwa na Saudia kwa ajili ya kufyatua makombora kuishambulia Yemen.
-
Mauaji ya silaha za kibiolojia dhidi ya Wayemen, kilele cha unyama wa Marekani na Saudia
Aug 02, 2017 03:34Kila siku moja inayopita ya vita vya Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen, kunadhihirika sura mpya na ya kikatili zaidi ya mauaji ya kimbari yanayofanyika nchini humo, na sasa baada ya kutumia silaha zilizopigwa marufuku kama zile za vishada kuua raia wasio na hatia wa Yemen, Aal Saud na washirika wao wanatumia silaha ya kibiolojia kufanya maangamizi ya wanadamu.