-
Nafasi ya kipekee ya Saudia katika kuenea fikra za Kiwahabi duniani
Jun 02, 2017 09:00Abdul Malik al Houthi, Katibu Mkuu wa harakati ya Answarullah ya Yemen ametangaza kuwa, nchi ambayo hivi sasa inaongoza fikra za Kiwahabi na kuzieneza katika nchi mbalimbali duniani, ni Saudi Arabia.
-
Utupiaji jicho jinai za Israel katika kuwachukua mateka Wapalestina
Apr 16, 2017 07:46Jumuiya ya Masuala ya Mateka na Watu Walioachiliwa Huru ya Palestina imetangaza kuwa, idadi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika korokoro za utawala ghasibu wa Israel imefikia 6,500.
-
Saudi Arabia yawafanya Wayemen "mapanya" wa majaribio ya mabomu na silaha hatari
Apr 11, 2017 23:22Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Siasa nchini Yemen amesema kuwa, Saudi Arabia na washirika wake wa Kimagharibi na Kiarabu wameifanya Yemen kuwa medani ya majaribio ya mabomu na silaha zenye uharibifu mkubwa.
-
Maandamano ya wananchi wa Syria ya kulaani jinai za Marekani
Apr 08, 2017 22:08Wananchi wa Syria wamefanya maandamano katika mitaa ya Damascus mji mkuu wa nchi hiyo kulaani mashambulizi ya Marekani katika kituo cha jeshi la anga cha nchi hiyo.
-
Siku ya Mtoto wa Palestina na mauaji ya Israel dhidi ya watoto
Apr 05, 2017 08:25Jumatano ya leo tarehe 5 Aprili Wapalestina wameadhimisha Siku ya Mtoto wa Palestina huku askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakiendelea kufanya mauaji na ukatili wa kutisha dhidi ya watoto katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
Iran yataka Marekani ishtakiwe kwa jinai za kivita baada ya mauaji ya Mosul
Mar 26, 2017 22:13Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema kuwa, hujuma za ndege za kivita za Marekani katika mji wa Mosul, Iraq ambazo zimeua idadi kubwa ya raia, ni jinai za kivita.
-
Syria yalalamikia kushadidi jinai za Marekani
Mar 23, 2017 10:55Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria katika kulalamikia jinai za muungano wa Marekani wa eti kupambana na magaidi wa ISIS au Daesh, imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutekeleza majukumu yake na kusitisha mauaji ya raia na uharibifu unaofanywa na muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani nchini Syria.
-
Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni na kutojali kwake ripoti za Umoja wa Mataifa
Mar 22, 2017 11:58Katika hali ambayo jinai na sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina zinakabiliwa na malalamiko na upinzani wa walimwengu pamoja na jumuiya za kimataifa, utawala huo dhalimu umeamua kushadidisha mashambulio yake dhidi ya wananchi hao madhulumu.
-
Radiamali ya Umoja wa Mataifa kwa hatua zilizo dhidi ya ubinadamu za utawala wa Israel
Feb 27, 2017 23:13Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kwamba, katika kipindi cha majuma mawili yaliyopita, utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa makumi ya nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hivyo kuwaacha Wapalestina wengine wakitangatanga kutokana na kutokuwa na makazi.
-
Udharura wa kuundwa kamati ya kutafuta ukweli kuhusu jinai za kivita za Saudi Arabia
Feb 14, 2017 23:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen kwa mara nyingine tena sambamba na kumtaka Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa kufanya safari nchini Yemen ili ashuhudie kwa karibu hali ya nchi hiyo ameitaka taasisi hiyo ya kimataifa iunde kamati huru ya kutafuta ukweli.