Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jinai za kivita

  • Utendaji dhaifu wa Jamii ya Kimataifa kuhusiana na maafa ya kibinadamu nchini Yemen

    Utendaji dhaifu wa Jamii ya Kimataifa kuhusiana na maafa ya kibinadamu nchini Yemen

    Feb 03, 2017 00:51

    Umoja wa Mataifa umesema unatiwa wasiwasi na hali ya usalama ya raia wa Yemen katika miji ya Dhubab na Almakha iliyoko kwenye mkoa wa Taiz. Kuhusiana na suala hilo, Jamie McGoldrick, Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen ametoa taarifa na kutangaza kuwa ripoti kutoka maeneo hayo zinaonyesha kwamba operesheni za kijeshi zilizofanywa kwenye maeneo ya pwani ya miji ya Dhubab na Almakha zimewafanya wakaazi wake walazimike kuzihama nyumba zao.

  • UN: Saudi Arabia imetenda jinai kubwa za kivita nchini Yemen

    UN: Saudi Arabia imetenda jinai kubwa za kivita nchini Yemen

    Jan 31, 2017 00:40

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, Saudi Arabia imefanya jinai za kivita katika mashambulizi yake ya kijeshi nchini Yemen.

  • Kuendelea jinai za Saudia nchini Yemen kunatokana na uzembe wa Umoja wa Mataifa

    Kuendelea jinai za Saudia nchini Yemen kunatokana na uzembe wa Umoja wa Mataifa

    Jan 27, 2017 23:19

    Akizungumza siku ya Alkhamisi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Stephen O'Brien, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Misaada ya Dharura amesisitiza kwamba ndege za kivita za Saudi Arabia zingali zinaendesha hujuma ya kuwaua ovyo na kwa umati raia wa nchi jirani ya Yemen.

  • Ukuta wa uzio katika mpaka wa Gaza; dharau ya Israel kwa Baraza la Usalama la UN

    Ukuta wa uzio katika mpaka wa Gaza; dharau ya Israel kwa Baraza la Usalama la UN

    Jan 11, 2017 11:30

    Wakati Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio nambari 2234 la kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usimamishe ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu, waziri wa vita wa utawala huo haramu ameafiki shauri la kujengwa ukuta wa uzio katika mipaka ya Ukanda wa Gaza.

  • Jinai za kivita Syria na jukumu la Katibu Mkuu mpya wa UN

    Jinai za kivita Syria na jukumu la Katibu Mkuu mpya wa UN

    Jan 06, 2017 23:49

    Katika radiamali yake ya kwanza kabisa kuhusiana na mgogoro wa Syria katika kipindi cha katibu mkuu António Guterres, Umoja wa Mataifa umelaani kitendo cha magenge ya kigaidi cha kuwakatia maji wananchi wa Damascus Syria na kusema hiyo ni jinai ya kivita.

  • HRW: Silaha za Marekani zinatumiwa na Saudia kutenda jinai za kivita Yemen

    HRW: Silaha za Marekani zinatumiwa na Saudia kutenda jinai za kivita Yemen

    Dec 03, 2016 00:55

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kwa mara nyingine limetoa wito kwa Marekani kusitisha uuzaji wake wa silaha kwa Saudi Arabia.

  • Marekani yatuhumiwa na ICC kutenda jinai za kivita Afghanistan

    Marekani yatuhumiwa na ICC kutenda jinai za kivita Afghanistan

    Nov 15, 2016 23:26

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ametoa taarifa akiituhumu Marekani kwamba, imetenda jinai za kivita nchini Afghanistan.

  • Rais wa zamani wa Chad ahukumiwa kifungo cha maisha jela Senegal

    Rais wa zamani wa Chad ahukumiwa kifungo cha maisha jela Senegal

    May 30, 2016 11:12

    Mahakama maalumu nchini Senegal imemhukumu kifungo cha maisha jela mtawala wa zamani wa kijeshi wa Chad, Hissene Habre baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na kutenda jinai dhidi ya binadamu, utesaji na utumwa wa ngono.

  • Maonyesho ya jinai za Saudia nchini Yemen

    Maonyesho ya jinai za Saudia nchini Yemen

    Apr 07, 2016 23:26

    Wananchi wa mji mkuu wa Yemen, Sana'a wamefanya maonyesho ya picha, michoro na mabango yanayoakisi jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia dhidi ya raia wa Yemen

  • Saudia yadondosha mabomu sokoni Yemen

    Saudia yadondosha mabomu sokoni Yemen

    Feb 27, 2016 22:57

    Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumamosi zilidondosha mabomu katika soko moja lenye idadi kubwa ya watu katika mkoa wa Sana'a nchini Yemen.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS