-
Balozi wa Iran UN awasilisha malalamiko kwa Baraza la Usalama kufuatia madai yasiyo na msingi ya Arab League
Jul 07, 2024 07:41Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amewasilisha malalamiko kwa Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu madai ya uwongo yaliyotolewa na Jumuia ya Nchi za Kiarabu kuhusu Iran.
-
Kuondolewa Hizbullah ya Lebanon katika orodha ya magaidi ya Arab League, matunda ya kikanda ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Jul 02, 2024 02:36Baada ya miaka 8 kupita, hatimaye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeliondoa jina la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwenye orodha yake ya kigaidi.
-
Arab League yaiondoa Hizbullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jun 30, 2024 06:56Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetangaza habari ya kuiondoa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha yake ya 'mashirika ya kigaidi'.
-
Takwa la Bunge la Kiarabu la kusimamishwa mara moja mauaji ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza
May 26, 2024 05:26Katika kikao kilichofanyika katika makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu mjini Cairo, Spika wa Bunge la Kiarabu ametaka kusitishwa mara moja jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Katibu Mkuu wa UN atuma rambirambi kufuatia kufa shahidi Ebrahim Raisi na wenzake
May 21, 2024 12:26Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametuma salamu za rambirambi kwa familia za shahidi Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wenzake aliokuwa amefuatana nao na kutoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran.
-
Iran yakanusha taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi
May 19, 2024 02:46Nasser Kan’ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, amesisitiza kuwa visiwa vitatu vya Bu Musa na Tunb Kubwa na Ndogo vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi vitaendelea kuwa sehemu isiyotenganishika ya ardhi ya Iran na kwamba madai yasiyo na msingi yanayotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu suala hilo hayakubaliki kabisa.
-
Iran yaikataa taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi
May 17, 2024 08:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetupilia mbali kauli "isiyo na msingi" na "isiyokubalika" iliyotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na visiwa vitatu vya Abu Musa na Tunb Kubwa na Ndogo vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa visiwa hivyo vitabaki kuwa milki ya Iran.
-
Arab League: Lengo la Utawala wa Kizayuni ni kuifuta Palestina pamoja na haki zake
Apr 30, 2024 07:22Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema, lengo la vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza ni kufuta uwepo wa Palestina na haki zake na vilevile kulifuta moja kwa moja suala la Palestina.
-
Ijumaa, tarehe 22 Machi, 2024
Mar 22, 2024 02:53Leo ni Ijumaa tarehe 11 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1445 Hijria, mwafaka na tarehe 22 Machi 2024.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yapinga vikali kuvunjwa UNRWA
Feb 07, 2024 06:03Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amepinga mpango wowote wa kuvunjwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) akisema hatua hiyo ni makosa ya kimaadili na kiusalama.