-
Iran yakosoa taarifa ya Arab League, yasema itaendelea kuwaadhibu watenda jinai
Jan 19, 2024 11:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu hatua ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ya kufanya shambulio la makombora dhidi ya kituo kikuu cha ujasusi cha shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel Mossad katika eneo la Kurdistan ya Iraq.
-
Iran yakosoa taarifa ya Arab League kuhusu Gaza
Oct 14, 2023 07:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taarifa mpya ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu juu ya matukio ya Ukanda wa Gaza inakera na kufedhehesha.
-
Katibu Mkuu wa Arab League aelekea Russia kwa mazungumzo
Oct 09, 2023 02:34Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amefanya ziara mjini Moscow Russia kwa ajili ya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuhusu masuala mbalimbali.
-
Iran: Taarifa ya Japan na Waarabu kuhusu visiwa vitatu haina maana
Sep 08, 2023 03:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa taarifa ya pamoja iliyotolewa na Japan na nchi za Kiarabu kuhusu visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tomb Ndogo na Tomb Kubwa na kusisitiza kuwa taarifa hiyo haina umuhimu wowote.
-
Misri yakosoa EU kufuta mkutano baada ya Syria kurejea Arab League
Jun 19, 2023 10:48Misri imekosoa uamuzi wa Umoja wa Ulaya (EU) wa kufuta mkutano uliotazamiwa kufanyika wiki ijayo wa ngazi ya mawaziri baina yake na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, kutokana na Syria kurejeshewa uanachama kwenye taasisi hiyo ya Arab League.
-
Arab League yatahadharisha:Jamii ya kimataifa imepuuza kadhia ya Palestina
Jun 14, 2023 07:44Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ametahadharisha kuhusu hatua ya jamii ya kimataifa ya kupuuza suala la Palestina chini ya kivuli cha utawala wa Kizayuni wenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia.
-
Arab League yazitaka pande zinazopigana Sudan kuheshimu vipengee vya usitishaji vita
May 21, 2023 13:01Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Arab League ametaka kutekelezwa makubaliano ya kusitisha vita huko Sudan na pande hasimu kuheshimu vipengee vya makubaliano hayo baadaya pande hizo kusaini makubaliano ya kusitisha vita.
-
Iran yajibu madai hewa yaliyomo kwenye maazimio ya mkutano wa Jeddah wa Arab League
May 21, 2023 07:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, amejibu tuhuma na madai hewa yaliyomo kwenye baadhi ya maazimio yaliyopitishwa na kikao cha 32 cha wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, kwa kueleza masikitiko makubwa aliyonayo kwa kutolewa thuma hizo na kubainisha kwamba, kutolewa madai hayo na Arab League ni kupita tena katika njia ya mkwamo ya huko nyuma.
-
Mkutano wa nchi za Kiarabu wamalizika Jeddah kwa wito wa kutatuliwa kadhia za Palestina, Syria
May 20, 2023 02:13Viongozi wa nchi za Kiarabu wamekamilisha mkutano wao huko Jeddah, Saudi Arabia kwa kutoa taarifa iliyosisitiza udharura wa kutatuliwa kadhia ya Palestina na mgogoro wa Syria.
-
Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; takwa la Damascus au Arab League?
May 08, 2023 05:36Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiarabu walikubaliana katika mkutano wao waliofanya jana Jumapili tarehe 7 Mei mjini Cairo kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), baada ya kusimamishwa uwanachama wake kwa muda wa takriban miaka 12.