-
Arab League yatoa rasimu ya mpango wa kutatua mzozo wa Sudan
May 07, 2023 11:02Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wametayarisha rasimu ya mpango wa kutatua mgogoro wa Sudan.
-
Arab League: Jamii ya Kimataifa ikomeshe ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na Israel
Mar 31, 2023 07:43Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeitaka Jamii ya kimataifa ichukue hatua za dhati kukomesha ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Jumatano, tarehe 22 Machi, 2023
Mar 22, 2023 02:24Leo ni Jumatano tarehe 29 Shaaban 1444 Hijria sawa na 22 Machi mwaka 2023.
-
Katibu Mkuu wa Arab League: Kupatana Tehran na Riyadh ni hatua chanya kwa maana halisi
Mar 15, 2023 07:38Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema makubaliano yaliyofikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia ni hatua nzuri na chanya kwa maana yake halisi na akaongeza kuwa athari zake za kwanza ni kupatikana kwa namna fulani utulivu wa kisiasa na kiusalama kati ya nchi hizo mbili.
-
Arab League, Hizbullah zakaribisha kuhuishwa uhusiano wa Iran, Saudia
Mar 12, 2023 10:36Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imekaribisha makubaliano ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia wa Iran na Saudi Arabia, miaka saba baada ya kuvunjika uhusiano huo.
-
UN: Thuluthi moja ya Waarabu wanaishi katika umaskini
Jan 01, 2023 07:12Taasisi ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, thuluthi moja ya jamii ya Waarabu wanaishi katika hali ya umaskini na uchochole wa kupindukia.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yaonuya kuhusiana na jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Nov 25, 2022 10:04Katibu Mkuuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ameonya kuhusiana na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na kueleza kwamba, zitakuwa na matokeo mabaya zaidi.
-
Russia: Tuko tayari kuimarisha uhusiano na Arab League
Nov 02, 2022 02:46Rais wa Russia amesisitiza kuwa Moscow iko tayari kuimarisha uhusiano wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League). Rais Vladimir Putin ameeleza hayo katika kukaribia mkutano wa Arab League huko Algeria.
-
Bin Salman hatohudhuria kikao cha wakuu wa Arab League Algeria kwa ushauri wa madaktari
Oct 23, 2022 11:58Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman hatahudhuria mkutano ujao wa kilele wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu utakaofanyika nchini Algeria kwa kufuata ushauri wa madaktari wa kuepuka kusafiri. Hayo yameelezwa na ofisi ya rais wa Algeria.
-
Iran yatoa jibu kwa taarifa ya kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Sep 08, 2022 11:17Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vipengee vya taarifa ya kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.