-
Raisi: Shahidi Soleimani, chimbuko la ushindi mkabala wa maadui
May 04, 2021 01:34Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alikuwa chanzo cha ushindi mtawalia dhidi ya maadui.
-
Kamati ya pamoja ya Iran na Iraq yachunguza mauaji ya kigaidi ya Soleimani
Apr 03, 2021 09:43Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema faili la mauaji ya kigaidi ya Shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) linafuatiliwa na kamati ya pamoja ya Iran na Iraq.
-
Rais Saleh: Jenerali Suleimani alisimama bega kwa bega na taifa la Iraq
Jan 06, 2021 04:41Rais Barham Saleh wa Iraq amesema Shahidi Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC alisimama bega kwa bega na wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu katika vipindi vyote vya matatizo na misukosuko.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Iran italipiza kisasi cha kuuawa shahidi Jenerali Suleimani
Jan 03, 2021 08:10Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa, hakuna chembe ya shaka kuwa Jamhuri ya Kiislamu italipiza kisasi cha kuuawa kigaidi Shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Meja Jenerali Salami: Iran itatoa jibu kali kwa kitendo chochote cha adui
Jan 02, 2021 13:12Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema: "Sisi tutajibu kitendo chochote cha adui kwa pigo kali".
-
Katika Maktaba ya Qassim Suleimani (mwaka mmoja tangu kuuawa kwake shahidi)
Jan 02, 2021 08:59Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.
-
Kamanda Soleimani, shujaa wa dunia katika vita dhidi ya ugaidi
Jan 02, 2021 07:26Leo Jumamosi, tarehe pili Januari 2021 inayosadifiana na tarehe 13 Dei 1399 mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia, inasadifiana na mwaka mmoja tangu alipouawa shahidi na kidhulma, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Jumamosi, Pili Januari, 2021
Jan 02, 2021 01:37Leo ni Jumamosi tarehe 18 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1441 Hijria sawa na tarehe Pili Januari 2021 Miladia.
-
Jenerali Baqeri: Kisasi kikali kwa wauaji wa Shahidi Suleimani muda wake hauishi
Jan 01, 2021 04:17Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kisasi cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC kitakuwa kikali na wala hakina muda wa kumalizika.
-
Ujumbe wanaokusudia kuufikisha Wairaqi kwa maandalizi ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda Qassem Suleimani
Dec 25, 2020 02:29Wananchi na makundi mbalimbali ya Wairaqi wanajiandaa kwa hauli na maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu alipouliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani na Abu Mahdi Al-Muhandis.