-
Jumatatu tarehe 16 Agosti mwaka 2021
Aug 15, 2021 21:49Leo ni Jumatatu tarehe 7 Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 16 mwaka 2021.
-
Alkhamisi tarehe 12 Agosti 2021
Aug 11, 2021 21:54Leo ni tarehe Tatu Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 12 mwaka 2021.
-
Maafisa Usalama Iraq wazima jaribio la shambulizi la kigaidi Karbala
Mar 29, 2021 08:04Maafisa usalama wa Iraq wamezima jaribio la shambulizi la kigaidi lililolenga mjumuiko mkubwa wa wapenzi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) uliokuwa njiani kutoka Najaf ukielekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya sherehe za kuzaliwa Imam wa Zama na mwokozi aliyeahidiwa wa Akheri Zamani, Imam Mahdi (as).
-
Jumapili tarehe 30 Agosti mwaka 2020
Aug 29, 2020 19:21Leo ni Jumapili tarehe 10 Muharram mwaka 1442 Hijria sawa na Agosti 30 mwaka 2020.
-
Mamilioni washiriki maombolezo ya Tasua kwa kuchunga protokali za afya
Aug 29, 2020 03:32Licha ya janga la corona, na huku wakichunga protokali za afya, mamilioni ya Waislamu wa Iran na maeneo mengine ya dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua.
-
Jumanne, tarehe 25 Agosti, mwaka 2020
Aug 24, 2020 22:50Leo ni Jumanne tarehe 5 Muharram 1442 Hijria sawa na Agosti 25 mwaka 2020.
-
Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Bibi Zainab AS
Dec 31, 2019 03:42Bibi Zainab (sa) alijipamba kwa sifa na fadhila nyingi nzuri na za kupigiwa mfano kadiri kwamba sifa hizo bora zilimfanya kuwa bibi mwema aliyepaswa kuigwa na watu wengine. Alikuwa na tabia, fadhila na maadili mema mengi yaliyofanya kuwa na sifa za kipekee miongoni mwa watu na jamii aliyoishi ndani yake.
-
Zaidi ya wafanyaziara milioni 17 wameshiriki katika Arubaini ya Imam Hussein (as) ya mwaka huu
Oct 20, 2019 23:09Gavana wa mkoa wa Karbala nchini Iraq ametangaza kuwa, idadi ya mazuwari walioshiriki kwenye maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu imepindukia milioni 17.
-
Mahojiano maalumu ya Salum Bendera na baadhi ya mazuwwar katika Mashaya (matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein as)
Oct 20, 2019 04:38Katika miaka ya hivi karibuni Mashaya (matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein as) yamechukua mkondo mpana zaidi ambapo mamilioni ya Waislamu na wasiokuwa Waislamu hushiriki katika kumbukumbu hii.
-
Historia ya Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 20, 2019 04:03Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran, Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki.