-
Ijumaa, Disemba 12, 2025
Dec 12, 2025 02:37Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Tisa Jumadithani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Disemba 2025.
-
Wakenya watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kuwaanika mafisadi
Dec 10, 2025 10:17Mkuu wa Utumishi wa Umma nchini Kenya, Bw Felix Koskei, ametoa wito kwa Wakenya kushirikiana na serikali katika vita dhidi ya ufisadi ambao kwa miaka mingi umeathiri utoaji wa huduma za serikali.
-
Hatua mpya katika uhusiano wa Iran na Kenya; kianzio katika diplomasia ya Kiafrika ya Tehran?
Dec 09, 2025 12:42Balozi wa Iran nchini Kenya amesema kuwa uhusiano kati ya Tehran na Nairobi umeingia katika hatua mpya.
-
Kikosi kipya cha polisi wa Kenya chawasili Haiti kukabiliana na magenge ya uhalifu
Dec 09, 2025 11:29Hiki ni kikosi cha tano cha polisi wa Kenya kufika huko Haiti kisiwa kilichokumbwa na ghasia tangu kuanza kuhudumu kwa misheni ya polisi inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa. Kenya ina polisi zaidi ya 700 nchini humo.
-
Wabunge Kenya wawatuhutumu wanajeshi wa Uingereza kwa unyanyasaji wa kingono na uharibifu wa mazingira
Dec 04, 2025 03:49Ripoti ya uchunguzi ya bunge la Kenya imewatuhumu wanajeshi wa Uingereza walioko nchini humo kwa unyanyasaji wa mara kwa mara wa kingono, mazoezi yasiyo salama na ukiukaji wa mazingira. Ripoti hiyo imebainisha kuwa mienenendo hiyo imewafanya wanajeshi hao ajinabi kujiona kama "kikosi vamizi".
-
Vyombo vya usalama Tanzania vyamkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu
Nov 17, 2025 03:46Polisi ya Tanzania imetangaza kuwa imemkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu katika mpaka wa Tanzania na Kenya.
-
UN yamchagua Profesa Phoebe Okowa wa Kenya kuwa Jaji wa Mahakama ya ICJ
Nov 14, 2025 07:42Katika kura ya kihistoria iliyopigwa Umoja wa Mataifa siku ya Alkhamisi, profesa wa sheria wa Kenya Phoebe Okowa alichaguliwa kuwa jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), akiibuka mshindi kwenye ulingo wa ushindani wa wagombea wa Kiafrika baada ya mfululizo wa raundi za kupiga kura zilizokuwa na mvutano katika Baraza Kuu na Baraza la Usalama.
-
Kenya yataka majibu kwa Tanzania kuhusu raia wake waliokumbwa na misukosuko ya baada ya uchaguzi
Nov 07, 2025 11:51Kenya imeitaka Tanzania itoe majibu kuhusu hali ya raia wake waliojipata kwenye mzozo wa baada ya uchaguzi, huku ikishinikiza serikali ya nchi hiyo ihakikishe usalama wao na kuchukua hatua dhidi ya ukiukaji wa haki zao.
-
Mashujaa wa Mau Mau Kenya waishtaki serikali wakitaka fidia ya shilingi bilioni 10
Nov 06, 2025 03:20Waliokuwa wapiganaji wa Mau Mau nchini Kenya kutoka Kaunti ya Meru wameishtaki Serikali, wakitaka iwalipe fidia ya shilingi bilioni 10 kwa vitendo vya ukiukaji wa haki walivyotendewa baada ya nchi hiyo kupata uhuru.
-
Watu 21 wameaga dunia na 30 hawajulikani walipo kufuatia maporomoko ya udongo yaliyoikumba Kenya
Nov 02, 2025 03:14Maporomoko ya udongo yaliyoathiri maeneo ya magharibi mwa Kenya yameuwa watu wasiopungua 21 na kujeruhi makumi ya wengine. Watu wengine zaidi ya 30 hawajulikani walipo kufuatia maafa hayo.