Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Mama: Askari wa Marekani waliomuua mwanangu ni wanyama

    Mama: Askari wa Marekani waliomuua mwanangu ni wanyama

    Mar 23, 2023 08:51

    Mama mzazi wa Ivor Otieno, kijana Mkenya aliyeuawa hivi karibuni na polisi ya Marekani akiwa korokoroni amewataja askari polisi waliofanya ukatili huo kuwa wanyama.

  • Kadhaa wajeruhiwa na kukamatwa katika maandamano ya wapinzani Kenya, Afrika Kusini

    Kadhaa wajeruhiwa na kukamatwa katika maandamano ya wapinzani Kenya, Afrika Kusini

    Mar 20, 2023 10:31

    Maafisa usalama nchini Kenya wametumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kukabiliana na wafuasi wa kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga, ambao wamejitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya nchi nzima dhidi ya serikali ya Rais William Ruto.

  • Matukio ya Kiislamu wiki hii na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya Kiislamu wiki hii na Harith Subeit + Sauti

    Mar 04, 2023 00:24

    Matukio ya Kiislamu wiki hii yamejumuisha maeneo tofauti ya Afrika Mashariki na Kati. Yameandaliwa na mwandishi wetu Harith Subeit. Ingia kwenye Sauti kusikiliza ripoti hiyo iliyo na matukio tofauti ya Kiislamu wiki hii.

  • Rais Ruto: Kenya haitaruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja

    Rais Ruto: Kenya haitaruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja

    Mar 02, 2023 23:11

    Rais William Ruto wa Kenya amekosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu ya nchi hiyo wa kuruhusu kusajiliwa makundi ya kulobi ya mashoga na wasagaji (LGBTQ) na kusisitiza kuwa, taifa hilo la Afrika Mashariki kamwe halitaruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja.

  • Askari wa jeshi la Kenya waua magaidi wa al-Shabab katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia

    Askari wa jeshi la Kenya waua magaidi wa al-Shabab katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia

    Feb 17, 2023 03:58

    Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Kenya KDF wamewaua magaidi watatu wa kundi la ukufurishaji la Al-Shabaab la Somalia katika eneo la Sarira kwenye mpaka wa pamoja wa nchi hizo mbili.

  • Kenya na Somalia zakubaliana kushirikiana zaidi ili kuboresha hali ya usalama

    Kenya na Somalia zakubaliana kushirikiana zaidi ili kuboresha hali ya usalama

    Feb 06, 2023 22:56

    Serikali ya Kenya imetangaza kufungua tena mpaka wa nchi kavu wa nchi hiyo na Somalia kwa lengo la kuboresha hali ya usalama katika mipaka hiyo.

  • Watu 14 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    Watu 14 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    Feb 05, 2023 08:03

    Watu wasiopungua 14 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Lodwar- Kakuma eneo la Kakwamunyen, kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya.

  • Mkutano wa kilele wa Somalia waahidi kuchukua

    Mkutano wa kilele wa Somalia waahidi kuchukua "hatua ya mwisho" ya kulimaliza kundi la Al-Shabaab

    Feb 02, 2023 03:53

    Viongozi wa Somalia na nchi jirani wameahidi katika mkutano wa kilele uliofanyika jana Jumatano katika mji mkuu Somalia, Mogadishu, "kuchukua hatua za mwisho" dhidi ya kundi la Al-Shabaab.

  • Jumatatu, Disemba 12, 2022

    Jumatatu, Disemba 12, 2022

    Dec 11, 2022 23:09

    Leo ni Jumatatu tarehe 17 Mfunguo Nane Jumadil Awwal 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Disemba 2022 Milaadia.

  • Kikosi cha pili cha wanajeshi wa Kenya chawasili  DRC kusaidia mapambano dhidi ya waasi

    Kikosi cha pili cha wanajeshi wa Kenya chawasili DRC kusaidia mapambano dhidi ya waasi

    Nov 17, 2022 07:13

    Kundi la pili lal wanajeshi wa Kenya wamewasili katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lililoathiriwa na machafuko na hujuma za waasi. Wanajeshi hao wametumwa Kongo katika fremu ya kikosi cha kudumisha amani cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS