Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Sitamwacha Uhuru Kenyatta iwapo nitashinda uchaguzi wa rais wa Agosti 9

    Sitamwacha Uhuru Kenyatta iwapo nitashinda uchaguzi wa rais wa Agosti 9

    Mar 16, 2022 09:11

    Kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, amesema kuwa hatamwacha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya iwapo atashinda uchaguzi wa Agosti 9, 2022.

  • Ripoti ya Mkaguzi Mkuu: 47% ya Wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta wanatoka kabila moja

    Ripoti ya Mkaguzi Mkuu: 47% ya Wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta wanatoka kabila moja

    Mar 10, 2022 11:03

    Ripoti mpya inaonyesha kuwa kabila moja linaunda karibu nusu ya wafanyikazi wa Hospitali ya Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH nchini Kenya.

  • Rais Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Odinga katika uchaguzi wa rais Kenya

    Rais Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Odinga katika uchaguzi wa rais Kenya

    Feb 23, 2022 10:45

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza rasmi kumuunga mkono kinara wa chama cha upinzani cha ODM, Raila Odinga katika azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka huu.

  • Shahidi katika Kesi ya Paul Gicheru mahakama ya ICC amhusisha William Ruto na kutoa hongo

    Shahidi katika Kesi ya Paul Gicheru mahakama ya ICC amhusisha William Ruto na kutoa hongo

    Feb 22, 2022 09:29

    Shahidi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) amelipua bomu baada ya kumhusisha Naibu Rais wa Kenya, William Ruto na kashfa ya kutoa hongo katika njama za kuvuruga kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu baada ya uchaguzi wa mwaka 2007.

  • FAO yatoa wito wa kuwasaidia waathirika wa ukame katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia

    FAO yatoa wito wa kuwasaidia waathirika wa ukame katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia

    Feb 04, 2022 04:23

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO katika Ukanda wa Afrika Mashariki limetoa wito kwa wananchi, taasisi binafsi na mashirika ya dini kuchangia wananchi walioathirika na ukame pamoja na mazao yao kuharibiwa na nzige katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia.

  • Bomu la kutegwa ardhini laua watu 4 kaskazini mwa Kenya

    Bomu la kutegwa ardhini laua watu 4 kaskazini mwa Kenya

    Feb 03, 2022 09:21

    Watu wasiopungua wanne wamepoteza maisha baada ya gari lililokuwa limewabeba kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika Kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya.

  • Kenya yakaribisha wawekezaji kutoka Iran katika sekta za mafuta, dawa na vifaa vya tiba

    Kenya yakaribisha wawekezaji kutoka Iran katika sekta za mafuta, dawa na vifaa vya tiba

    Jan 20, 2022 23:48

    Mwambata wa kiuchumi katika ubalozi wa Kenya mjini Tehran amesema nchi yake inakaribisha wawekezaji kutoka Iran kwenda kuwekeza vitega uchumi katika nchi hiyo.

  • Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia

    Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia

    Jan 11, 2022 10:47

    Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.

  • Kenya yajibu mapigo, yasimamisha safari za ndege kutoka Imarati

    Kenya yajibu mapigo, yasimamisha safari za ndege kutoka Imarati

    Jan 11, 2022 04:22

    Kenya imesimamisha safari zote za ndege za abiria kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu, kujibu hatua ya Imarati ya kuzuia kwa muda usiojulikana ndege zote za kutoka nchi hiyo ya Afrika Mashariki kutua nchini humo, kwa madai ya vyeti bandia vya Corona.

  • Biashara ya Kenya na Tanzania yaimarika kufuatia agizo la Rais Samia

    Biashara ya Kenya na Tanzania yaimarika kufuatia agizo la Rais Samia

    Jan 09, 2022 04:34

    Biashara baina ya Kenya na Tanzania inazidi kuimarika miezi kadhaa baada ya kuja madarakani Rais Samia Suluhu Hassan nchini Tanzania.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS