Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Askari polisi wanne wa Kenya wauawa, magaidi wa Ash-Shabaab washukiwa kuhusika

    Askari polisi wanne wa Kenya wauawa, magaidi wa Ash-Shabaab washukiwa kuhusika

    Jan 07, 2022 23:54

    Maafisa wanne wa polisi ya Kenya wameuawa katika shambulio la kuvizia katika eneo la pwani ya nchi hiyo linalopakana na Somalia, amblo hulengwa mara kwa mara na wanamgambo wa kundi la kigaidi la Ash-Shabaab.

  • Watu 6 wauawa katika shambulio la al-Shabaab Lamu, Kenya

    Watu 6 wauawa katika shambulio la al-Shabaab Lamu, Kenya

    Jan 03, 2022 07:34

    Kwa akali watu sita wameuawa katika shambulio la kundi la kigaidi la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu, Pwani ya Kenya.

  • Mjadala kuhusu mswada katika bunge la Kenya waibua mapigano

    Mjadala kuhusu mswada katika bunge la Kenya waibua mapigano

    Dec 29, 2021 12:44

    Kikao cha Bunge la Kenya kimebadilika na kuwa ulingo wa ndondi baada ya wabunge kadhaa kuanza kupigana wakati mjadala ukiendelea kuhusu muswada wa muungano ulioibua mgawanyiko.

  • Waziri wa Afya Kenya: Hoteli na migahawa isiwapokee watu ambao hawajachanjwa

    Waziri wa Afya Kenya: Hoteli na migahawa isiwapokee watu ambao hawajachanjwa

    Dec 28, 2021 04:32

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Afya, imeagiza migahawa na hoteli kutotoa huduma kwa wateja ambao hawajachanjwa kama njia ya kukabiliana na maambukizi ya COVID-19 nchini humo hususan katika kipindi hiki cha sikukuu za mwishoni mwa mwaka.

  • Jumapili tarehe 12 Disemba 2021

    Jumapili tarehe 12 Disemba 2021

    Dec 12, 2021 00:21

    Leo ni Jumapili tarehe 7 Jamadil Awwal 1443 Hijria Qamaria sawa 21 Azar mwaka 1400 Hijria Shamsiya na Disemba 12 mwaka 2021.

  • Hafla ya ufunguzi ya somo la lugha ya Kifarsi kwa raia wa Kenya

    Hafla ya ufunguzi ya somo la lugha ya Kifarsi kwa raia wa Kenya

    Dec 04, 2021 23:59

    Hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya lugha ya Kifarsi kwa raia wa Kenya imefanyika kwa hotuba ya Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu huko Kenya.

  • Covid-19; Wasiochanja kutopewa huduma muhimu za serikali Kenya

    Covid-19; Wasiochanja kutopewa huduma muhimu za serikali Kenya

    Nov 22, 2021 08:58

    Wananchi wa Kenya ambao hawajapiga dozi kamili ya chanjo ya Covid-19 watanyimwa hudumu muhimu zinazotolewa na taasisi za serikali ya nchi hiyo kuanzia mwezi ujao wa Disemba.

  • Kenya na Marekani zajadili namna ya kukomesha machafuko Sudan na Ethiopia

    Kenya na Marekani zajadili namna ya kukomesha machafuko Sudan na Ethiopia

    Nov 18, 2021 04:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru wa Kenyatta wa Kenya kujadili namna ya kuhitimisha machafuko katika nchi za Sudan na Ethiopia.

  • Uchumi wa Kenya wastawi kwa asilimia 10

    Uchumi wa Kenya wastawi kwa asilimia 10

    Nov 11, 2021 04:36

    Uchumi wa Kenya ulistawi kwa kiwango cha asilimia 10.1 katika robo ya pili ya mwaka huu 2021.

  • Familia ya mwanamke wa Kenya aliyeuawa yalishtaki jeshi la Uingereza

    Familia ya mwanamke wa Kenya aliyeuawa yalishtaki jeshi la Uingereza

    Nov 10, 2021 10:54

    Familia ya mwanamke wa Kenya anayedaiwa kuuawa na askari wa Uingereza imelishtaki jeshi la UK ikitaka lishurutishwe kutoa majibu ya kitendawili cha mauaji hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS