-
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Kenya 2018
Jun 09, 2018 08:38Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Kenya.
-
Kenya yaomboleza ajali ya ndege ndogo iliyoua watu 10
Jun 07, 2018 11:05Rais Uhuru Kenyatta analiongoza taifa la Kenya katika kuomboleza vifo vya watu 10 waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea katika eneo la milima ya Aberdares mjini Kinangop kaunti ya Nyandarua, kaskazini mwa mji mkuu Nairobi.
-
Kenya yatakiwa kukata uhusiano na utawala pandikizi wa Israel +SAUTI
Jun 07, 2018 10:28Wanaharakati wa vuguvugu la Muungano wa Kenya na Palestina wameapa kuishinikiza serikali kusitisha uhusiano na serikali ya kidhalimu ya Israel na washirika wake wa karibu kama vile Marekani, baada ya madola hayo kuendeleza hujuma za wazi dhidi ya Wapalestina na kuikalia ardhi yao kwa mabavu.
-
Mahojiano na Mwenyekiti wa Harakati ya Kenya na Palestina kuhusu Siku ya Quds+SAUTI
Jun 07, 2018 09:31Mwandishi wa Radio Tehran mjini Mombasa, Seifullah Murtadha amezungumza na Mwenyekiti wa Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina, Bw. Abdulqadir Nasser kuhusu umuhimu wa Siku ya Quds.
-
Plastiki zapigwa vita katika Siku ya Mazingira Duniani
Jun 05, 2018 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukataa matumizi ya plastiki zinazotumika mara moja na kutupwa.
-
Siku ya Kimataifa ya Quds Kufanyika Nairobi, Kenya
Jun 04, 2018 23:21Wapenda haki na amani nchini Kenya watajiunga na wenzao kote duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa wiki hii.
-
Kenya yaweka historia, Rais Kenyatta azindua uuzaji mafuta nje + Sauti
Jun 03, 2018 14:11Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amezindua rasmi usafirishaji wa mafuta ghafi ya petroli yaliyochimbwa nchini humo na kwa utaratibu huo nchi hiyo imeanza mkakati wa kuuza bidhaa hiyo katika soko la kimataifa.
-
Mitandao ya kijamii yalaumiwa kwa kuporomoka maadili Kenya + Sauti
Jun 03, 2018 01:11Visa vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 kunyanyaswa kijinsia nchini Kenya vimekithiri na kuipa changamoto Serikali kuushinikiza mhimili wa mahakama kuwaadhibu ipasavyo wahalifu wa uovu huo.
-
'Udugu' na 'Vita dhidi ya Ufisadi' vyatawala maadhimisho ya Siku ya Madaraka Kenya
Jun 01, 2018 11:19Wakenya wameadhimisha Siku ya Madaraka huku kaulimbiu ya mwaka huu ikiwa mbele pamoja.
-
Wakenya waandamana kulaani ufisadi wa kifedha serikalini
May 31, 2018 10:18Mamia ya wananchi wa Kenya wamefanya maandamano hii leo katika mji mkuu Nairobi, kulalamikia kiwango kikubwa cha ufisadi wa fedha nchini humo.