Mitandao ya kijamii yalaumiwa kwa kuporomoka maadili Kenya + Sauti
Jun 03, 2018 01:11 UTC
Visa vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 kunyanyaswa kijinsia nchini Kenya vimekithiri na kuipa changamoto Serikali kuushinikiza mhimili wa mahakama kuwaadhibu ipasavyo wahalifu wa uovu huo.
Kwa upande wao wadau wa masuala ya watoto wanadokeza kuwa, umaskini na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yamechangia sana kuporomoka maadili.
Mwandishi wetu wa Mombasa, Seifullah Murtadha ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
Tags