-
Miguna Miguna asafirishwa bila kujijua kutoka Kenya, ajikuta Dubai ghafla
Mar 29, 2018 03:40Mwanasheria wa upinzani nchini Kenya na aliyeongoza shughuli ya kuapishwa kwa Kianara wa Muungano wa Upinzani (Nasa), Rais Odinga kuwa rais wa watu, Miguna Miguna amesafirishwa kwa ndege hadi mjini Dubai, bila kujitambua.
-
UNHCR: Waethiopia waliokimbilia hifadhi Kenya wakumbwa na masaibu
Mar 29, 2018 02:01Maelfu ya wakimbizi wa Ethiopia waliokimbilia hifadhi nchi jirani ya Kenya hivi sasa wanakabiliwa na tatizo kubwa la kukidhi mahitaji yao ya msingi, limesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR.
-
Waandishi wa habari Kenya wajiuzulu kwa mpigo kulalamikia ukatili waliotendewa wenzao na Polisi
Mar 27, 2018 12:38Waandishi kadhaa waandamizi wa makala maalumu za habari nchini Kenya wamejiuzulu kwa mpigo leo siku moja baada ya polisi kuwashambulia kwa ngumi na mateke waandishi wa habari waliokuwa wakipiga picha na kurekodi filamu za tukio la kufukuzwa kwa nguvu nchini humo mwanasiasa mmoja wa upinzani katika uwanja wa ndege jijini Nairobi.
-
Raila Odinga kuushitaki mtandao wa Facebook na Cambridge Analytica kwa kutumia jina lake kuchochea ghasia
Mar 27, 2018 12:26Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema kuwa, ataushtaki mtandao wa kijamii wa Facebook pamoja na kampuni ya Cambridge Analytica kwa kutumia jina lake katika kuendesha kampeni ya uchochezi na uhasama wa kikabila kwa ajili ya kuhujumu malengo yake ya kuwa rais wa Kenya hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2017.
-
Mwanasheria mkuu mteule Kenya, Kihara Kariuki, ajitetea bungeni
Mar 22, 2018 11:22Paul Kihara Kariuki aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya Mwanasheria Mkuu nchini Kenya leo amefika bungeni na kujitetea akiahidi kulinda Katiba na Sheria za nchi na kuishauri serikali vilivyo, bila kushawishiwa kisiasa ama kwa njia nyingine yoyote.
-
Muungano wa Makanisa Kenya: Asilimia kubwa ya Wakristo ni wachawi na washirikina
Mar 20, 2018 04:41Muungano wa makanisa nchini Kenya umetangaza kuwa, uchawi na ushirikina umekumbatiwa zaidi na Wakenya, kuliko wanavyomuamini Mungu.
-
Polisi 1400 wajiuzulu Kenya kwa kupunguziwa mishahara
Mar 19, 2018 11:53Maafisa 1,400 wa polisi wamejiuzulu wakilalamikia hatua ya Tume ya Huduma ya Polisi (NPSC) kupunguza mishahara yao.
-
Ulimwengu wa Soka, Machi 19
Mar 19, 2018 02:46Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tuangazie matukio muhimu yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.....
-
ICC yatangaza majaji wapya kushughulikia kesi za Kenya zilizoporomoka
Mar 17, 2018 12:29Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imechagua majaji wapya kushughulikia mafaili ya kesi zilizoporomoka za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na naibu wake, Bw William Ruto kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007.
-
Abbas Gullet: Wakimbizi wapatao 10,000 kutoka Ethiopia wameingia nchini Kenya mwezi huu pekee
Mar 17, 2018 04:22Katibu Mkuu wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya ametangaza kuwa, wakimbizi wapatao 10,000 kutoka Ethiopia wameingia nchini humo tangu kuanza mwezi huu wa Machi.