Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Odinga: Nitashiriki uchaguzi wa marudio Kenya kwa masharti

    Odinga: Nitashiriki uchaguzi wa marudio Kenya kwa masharti

    Sep 05, 2017 09:29

    Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema muungano wa upinzani wa NASA hautashiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Oktoba 17 iwapo masharti waliyoyatoa hayatatekelezwa.

  • AU yapongeza uamuzi wa mahakama ya juu Kenya kubatilisha uchaguzi wa rais

    AU yapongeza uamuzi wa mahakama ya juu Kenya kubatilisha uchaguzi wa rais

    Sep 04, 2017 22:07

    Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU amekaribisha uamuzi wa mahakama ya juu nchini Kenya wa kufuta matokeo ya uchaguzi wa rais nchini humo.

  • Ulimwengu wa Michezo, Sep 4

    Ulimwengu wa Michezo, Sep 4

    Sep 04, 2017 01:50

    Huu ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....

  • Kiongozi wa upinzani Kenya: Hatutagawana madaraka

    Kiongozi wa upinzani Kenya: Hatutagawana madaraka

    Sep 03, 2017 09:30

    Raila Odinga kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya (NASA) amesema leo kuwa muungano wake hautachangia madaraka, ikiwa zimepita siku mbili baada ya Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kutengua uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita na kuagiza kufanyika mwingine katika muda wa siku 60.

  • Rais wa Kenya ashambulia Mahakama, aapa 'kuziangalia upya' baada ya uchaguzi wa marudio

    Rais wa Kenya ashambulia Mahakama, aapa 'kuziangalia upya' baada ya uchaguzi wa marudio

    Sep 02, 2017 10:46

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema nchi hiyo ina kile alichokitaja kama "tatizo" na vyombo vyake vya Mahakama ambalo ni lazima lirekebishwe.

  • Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Kenya na ishara za kukomaa demokrasia

    Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Kenya na ishara za kukomaa demokrasia

    Sep 02, 2017 05:24

    Mahakama ya Juu ya Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita nchini humo na kumpa ushindi Rais wa sasa wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.

  • Mahakama ya Juu Kenya yatengua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Mahakama ya Juu Kenya yatengua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Sep 01, 2017 05:00

    Mahakama ya Juu ya Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi uliopita nchini humo na kumpa ushindi Rais wa sasa wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.

  • SAUTI, Mahakama Kuu Kenya yauruhusu upinzani kukagua Computer za IEBC ili kuthibitisha kama kuna wizi ulivyofanyika kwenye uchaguzi

    SAUTI, Mahakama Kuu Kenya yauruhusu upinzani kukagua Computer za IEBC ili kuthibitisha kama kuna wizi ulivyofanyika kwenye uchaguzi

    Aug 28, 2017 12:53

    Kesi inayopinga matokeo ya urais nchini Kenya imeanza kusikilizwa rasmi na mahakama ya juu zaidi nchini humo hii leo, huku uapnde wa malalamiko ambao ni muungano wa upinzani ukianza utetezi wake kwa saa tano.

  • Usafirishaji bidhaa za Iran nchini Kenya kuongezeka kwa asilimia 100 katika mwaka 2017

    Usafirishaji bidhaa za Iran nchini Kenya kuongezeka kwa asilimia 100 katika mwaka 2017

    Aug 27, 2017 10:23

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema usafirishaji bidhaa zisizo za mafuta za Iran kuelekea nchini Kenya katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2017 ulikuwa wa kiwango cha dola milioni 58 na inakadiriwa kuwa hadi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu kiwango hicho kitaongezeka kwa kasi kubwa na kufikia asilimia 100.

  • Marufuku ya mifuko ya plastiki kutekelezwa Kenya kuanzia Agosti 28

    Marufuku ya mifuko ya plastiki kutekelezwa Kenya kuanzia Agosti 28

    Aug 25, 2017 01:54

    Serikali ya Kenya imetanagaza kwamba marufuku ya mifuko ya plastiki itaanza kutekelezwa Jumatatu Agosti 28 kama ilivyopangwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS