-
Ongezeko la asilimia 58 la bidhaa za Iran zinazouzwa Kenya
Aug 23, 2017 23:14Kumekuwa na ongezeko la asilimia 58 ya bidhaa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zinazouzwa nchini Kenya katika kipindi cha miezi minne iliyopita ikilinganishwa na muda kama huo mwaka 2016.
-
Upinzani Kenya kuieleza mahakama jinsi teknolojia ilivyowezesha wizi wa kura
Aug 22, 2017 11:00Mrengo wa upinzani nchini Kenya umesema kuwa utathibitisha mbele ya Mahakama ya Kilele ya nchi hiyo kwamba teknolojia ilifanikisha kuliko kuzuia wizi wa kura wakati wa uchaguzi mkuu nchini humo hivi karibuni, ikiwa ni katika juhudi za mrengo huo za kutaka kubadilisha kura alizoshinda Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi huo uliofanyika mwanzoni mwa mwezi huu.
-
Sauti, Mahojiano kuhusu kuuawa na kujisalimisha viongozi zaidi wa ash-Shabab je, kuna maana ya kundi hilo kusambaratika au la?
Aug 20, 2017 11:59Jeshi la polisi Kenya limeongeza harakati ya kamatakamata ukanda wa Pwani, baada ya kuuwawa kiongozi wa masuala ya lojistiki wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab eneo bunge la Kisauni mjini Mombasa.
-
Upinzani Kenya wawasilisha mashtaka mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu
Aug 19, 2017 11:27Muungano wa upinzani nchini Kenya wa National Super Alliance (NASA) umewasilisha kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 8 Agosti na kufuatiwa na malalamiko na machafuko.
-
Al-Shabaab yawakata vichwa watu 3 kaunti ya Lamu, Kenya
Aug 18, 2017 03:40Kwa akali watu watatu wameuawa kwa kukatwa vichwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabab katika kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya.
-
SAUTI, Raila Odinga: Naelekea mahakamani kuonyesha uchakachuaji wa IEBC ulivyofanyika kwa maslahi ya Rais Kenyatta
Aug 16, 2017 12:54Kinara wa muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya, Raila Odinga hatimaye amepasua mbarika na kusema kuwa ataenda katika Mahakama ya Juu ya nchi kupinga matokeo ya kura za urais yaliyompa ushindi hasimu wake Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee.
-
Odinga kwenda Mahakama ya Juu Kenya kupinga matokeo ya urais
Aug 16, 2017 11:18Kinara wa muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya, Raila Odinga hatimaye amepasua mbarika na kusema kuwa ataenda katika Mahakama ya Juu ya nchi kupinga matokeo ya kura za urais yaliyompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee.
-
Polisi yashutumiwa kwa kuvamia ofisi za asasi zisizo za serikali Kenya
Aug 16, 2017 09:57Mashirika ya kiraia na yale ya kutetea haki za binadamu yamekosoa vikali hatua ya vyombo vya dola ya kuvamia na kutaka kufunga kwa nguvu ofisi ya asasi isizo ya serikali katika mji mkuu Nairobi.
-
Serikali ya Kenya yajaribu kuyafunga makundi mawili ya haki za binadamu
Aug 15, 2017 12:19Serikali ya Kenya inajaribu kulifungia kundi moja la kutetea haki za binadamu na taasisi ya kupigania demokrasia ambazo ziliweka alama ya kuuliza na kuhoji uhalali wa uchaguzi wa Rais uliozusha mzozo ambao ulifanyika wiki iliyopita nchini humo.
-
Odinga kutoa ushahidi wa wizi wa kura leo, kutangaza hatua atakayochukua
Aug 15, 2017 03:11Aliyekuwa mgombea wa urais wa muungano wa upinzani wa NASA katika uchaguzi mkuu wa wiki jana nchini Kenya, Raila Odinga anatazamiwa kutoa ushahidi wa kuyapa nguvu madai yake kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais yalichakachuliwa.